Msichana wangu anasumbuliwa x wake

Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
mtu anaweza kusumbuliwa na ex kuna mawili
1. bado anamtaka na anampa njia za yeye kumfikia it means hawezi kumuacha aen
2. kama ana mtoto na huyon jamaa...but long story short be careful.
 
Uyu jamaa anamuwinda inamaana msichana akisema atoke inje kosa
.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wanaume sisi tuna hatar sana.Huyo jamaa inaonekana alinogewa sana na maujuzi ya kitandani ya demu
Hapo inategemea mambo mengi.
1.Inategemea wewe umempenda kiasi gani huyo mwanamke,Kama hujampenda kivile mwachie tu jamaa aendelee naye ili isije kukuletea madhara mbeleni.
2.Kama umempenda kwa dhati huyo mwanamke Basi mwambie huyo demu abadilishe namba na ikiwezekana muhame hata mtaa mnaokaa na mkaishi mbali na hapo ili jamaa akimtafuta mwaka mzima bila mafanikio atamsahau na kuachana naye.
Unajua huyo kijana sio kosa lake bali ni hisia tu zinamfanya amkumbuke demu wake wa zamani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole kwa jamaa kuoaa zezetaaa
 
Duuuh
 
Kwa hiyo wanawake wote waliopo huku duniani umeona ugombanie na huyo ex..muoe tuu halafu utatuletea mrejesho.
 
usimuoe bado wako pa1, Anakutengenezea kazingira ili hata siku ukimdaka nae apate cha Kujitetea kwamba huyo mwanaume anamsumbua
 
Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Hapo ni sawa na kuloa Samaki kwenye ndoo, hao wanajuana funga nae ndoa uone shughuri yake
 
jamn kama changamoto ndogo kama hizo zinakushinda utaweza kwel mikiki ndani ya ndoa.
 
Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Hapo solution ni kuahirisha hyo NDOA kwa muda usio na kikomo. Jipe muda wa kutosha ujiridhishe kwnz juu ya hayo mahusiano Kama bado yapo au la. Vinginevyo, ni Kama unacheza Kamari hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…