Kumbe wee jamaa una akili sasa unakwama wapi??? Au ndo bado unampendaa..Uyu demu kwa ninavyomjua uyo jamaa ni boy wake wa pili, na mapenzi yao yalikuwa private ila alipokuja kwangu akayaweka public, aliniambia ananipenda mimi ndio mana kila kitu kiko wazi. Na nilimuuliza isiwe ananitumia mimi kuwaumiza watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama huyo Ex wake anajua hili bhasi hili jambo ndo analitumia kumjaza sumu manzii na vile unampenda noma sanaNinawatoto 2 mama mbali mbali ila nilitaka nimuoe huyu just awalee watoto wangu kwa kuwa sikuwahi mpenda mwanamke kama nilivyompenda yy.
Analijua na huwa anamwambia siwezimuoa, ila ndo nimempenda binti ,Kwakweli apa naona majogoo wawili tunatunishiana misuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama huyo Ex wake anajua hili bhasi hili jambo ndo analitumia kumjaza sumu manzii na vile unampenda noma sana
I will do, ila naona demu kamblok mshikaji ata fb, mana alikuwa anamchunguza kila kitu anachofanya demu.Jaribu ku track mawasiliano yao.
Huenda jamaa linapiga afu unaleta issue za kib,wege
Mlelee tu jamaa. Huyo ni mmoja unayemjua, wale anaowakubali moyoni hawezi kukwambia. Happy marriageNinampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Nilipoandika watu waoe mabikira nilitukanwa na wasioelewa, here we are!!Abadilishe line za simu kabisa ikiwezekana chukua namba zake we mpe namba mpya za kwako uziweke pending kwa muda, kila atakapopiga simu atakuna na wewe....
Kama haitoshi siku muite kupitia msichana wako halafu umuonye onyo kuu ukiwa na watu mbali mbali
Ofcoz na demu nae anabadilishwa mawazo maana jamaa anamjaza sumu sana.Analijua na huwa anamwambia siwezimuoa, ila ndo nimempenda binti ,Kwakweli apa naona majogoo wawili tunatunishiana misuri
Yes ni sahihi yaani inavyoonekana amekaa naye muda mrefu na akamzoea kwa hyo hata akimkatalia Hana wasiwasi naye anajua atatumia angles gani kumpata.Kabisa mkuu, hapo uyo kijana kuna nguvu anaipata na anaitumia kama weakness point kwa huyo dada yani hapo kazi ipo. Apige chini
Mkuu usiamini hawa viumbeKwa madai yake ananipenda mimi ndio mana hakuna siri,kama utaenda fb cover picture yake ni picha yangu.
Mkuu upo sahihi, hiyo ya profile picture sio suluhisho, mwanamke anaweza akawa ametoka kuku cheat akimaliza tu anakupost status alafu anaandika bonge la caption yani utasema leo kakumbuka nini kumbe ushazugwa. Umeongea kweliMkuu usiamini hawa viumbe
Huyu mwamba atakuja kupata shida sana siku za usoni, maana nimesha mwona hana akili sawasawa...Ex hawezi kunisumbua kama sijampa nafasi ya kunisumbua.
Ndio hivyo yaani.
Worst ApproachKama haitoshi siku muite kupitia msichana wako halafu umuonye onyo kuu ukiwa na watu mbali mbali
Kuna mmoja kanifanyia hivi hivi, kaniahdi mtoto wake mdogo aliyenaye akikua basi tutapiga mechi kibaoMkuu hata mimi kuna ex wangu anaolewa nimemsumbua hadi kakubali kuingia mkataba nisiwe namsumbua tena...
Makubaliano ya mkataba wetu.
Kwa mwaka tutakutana mara nne kufanya tendo yani kila baada ya miezi minne,
Atanisave kaka,
Tutakua tunachat mara moja moja mchana kama kaka na dada mpka siku za tendo zikaribie,
Kama akipata mimba basi sihusiki ni ya mumewe.
Take care mkuu
Wewe ninakupendaga bure, unaushauri murwaa munoo, kama una kidume hakieleweki njoo chochote utakacho nakupa
Yaani Mimi wanawake nilikuja kuwadelete kichwani kwangu kutokana na event moja hivi ambayo niliifanya Mimi mwenyewe.Mkuu kunywa maziwa yamoto hapo ntalipa,aisee hii kitu nime proof uwezi amini ni ukweli kabisa.