rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Kumbe wee jamaa una akili sasa unakwama wapi??? Au ndo bado unampendaa..Uyu demu kwa ninavyomjua uyo jamaa ni boy wake wa pili, na mapenzi yao yalikuwa private ila alipokuja kwangu akayaweka public, aliniambia ananipenda mimi ndio mana kila kitu kiko wazi. Na nilimuuliza isiwe ananitumia mimi kuwaumiza watu.