Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Wabongo ndo zao izo...zeruzeru ni neno fasaha la kiswahili na albino ni kizungu...sasa ukimuita albino ama zeruzeru wanakuona unanyanyapaa kumbe umetumia lugha fasaha kabisa...eti wanataka uite mlemavu wa ngozi...Ni kweli ila huyo mtoto hajali kabisa au hajui jana ktk mahijiano na BBC idhaa ya kiswahili alijiita hivyo.
Umeukimbi Uzi wako mwenye unakuja kudandia Uzi mwimgine, huu ni ubaguzi kama ulivyo ubaguzi wa kikabila. Sasa na huyu msichamanataka ajulikane kwa ualbino wake badala ya jina lake au utu wake. Sijaona hata mtu mmoja anataja jina lake kwanza kabla ya ugonjwa wake wa ngozi.
Neno Albino linamaanishaTupia hapa hiyo historia watu wasome. Asante
Umesema ukweli. Unyanyapaa unatokana na yale unayoyawaza moyoni na unayoyatenda. Kile wanachotaka hawa wanaharakati ni kufanya kila mtu awe guilt conscious kila mara.Wabongo ndo zao izo...zeruzeru ni neno fasaha la kiswahili na albino ni kizungu...sasa ukimuita albino ama zeruzeru wanakuona unanyanyapaa kumbe umetumia lugha fasaha kabisa...eti wanataka uite mlemavu wa ngozi...
Ni kama ukisema KIPOFU wanakuona mnyanyapaa eti useme mlemavu wa macho!
Inakera
Kuku ni kuku tu jogoo jinaNeno Zeruzeru limekaa kinyanyapaa sana,sisi jamii ya wastaarabu tunaita ulemavu wa ngozi.
Sina imani kama angependa ajulikane kama mlemavu wa ngizo zaidi ya utu wake au jina lake. Kama alama ya mwili ndio utambulisho mtu, kwanini makabila yanayo chanja chale usoni huyatambuwi kwa chale zao?Makeup ya ngozi yake ni utambulisho wa kipekee ambao naamini hata yeye anajivunia.
Kwa wasiojitambua ndio hujikataa
ni sawa na neno AlbinoFuta neno zeru zeru...
Hapana...kuna majina ya kupunguza ukali wa maneno.Kuku ni kuku tu jogoo jina
Vyombo vya habari vya Kenya ndio mitindo yao wakikosa cha kuandika. Wanatafuta hata ambacho sio cha kuandikwa na kukikuza mpaka basi e.g. Githeri man. Kilicho mfanya huyo binti kufaulu mtihani ni akili yake na sio matatizo anayo yapitia kijamii. Ngozi yake haikutakiwa kuwa issue lakini vyombo ya habari wako busy kufukia ya uchaguzi kwa habari kama hiyo. Huyo binti amejitahidi kufaulu mtiani kwa nguvu yake mwenyewe na sio NGOZI yake. Hata cheti chake cha kuzaliwa hakiandikiwi kama albino bali mtoto wa kike.Hakuna jipya katika kuongoza mtihani wa KCPE. Wengi wameongoza. Kinachofurahisha wengi wetu kwa ualbino wake ni kuwa jinsi anavyozidi kudhihirisha uerevu wake, ndivyo watu wanazidi kuona kwamba kuwa albino si eti wewe umelaaniwa. Albino wengi watoto wanaona hata wao ni watu kama wengine. Mwenyewe amesema kuwa kilichompa motisha zaidi ni kujua kuwa kuna Jaji wa mahakama ambaye ako kama yeye tu. Mzazi yeyote aliye na mtoto kama yeye itabidi atie bidi akijua kuwa mtoto wake si mjinga kwa ulemavu wake.
Umeukimbi Uzi wako mwenye unakuja kudandia Uzi mwimgine, huu ni ubaguzi kama ulivyo ubaguzi wa kikabila. Sasa na huyu msichamanataka ajulikane kwa ualbino wake badala ya jina lake au utu wake. Sijaona hata mtu mmoja anataja jina lake kwanza kabla ya ugonjwa wake wa ngozi.
Hapo kwenu kuna jamaa ana PhD pakini akiongea umombo hadi misuli insimama na mikono inapiga mixer hahahah dahAisee anatema yai la ukweli bila kepepesa macho mazee!
Haha, Sawa leteni habari tu.Wacha povu, hizi taarifa utazidi kuziona mpaka basi.
Jina ni utambulisho binafsi tu!Sina imani kama angependa ajulikane kama mlemavu wa ngizo zaidi ya utu wake au jina lake. Kama alama ya mwili ndio utambulisho mtu, kwanini makabila yanayo chanja chale usoni huyatambuwi kwa chale zao?
Ni jina tu mkuu lina maana "eupe eupe" kwa kiafrika (kiblackman)Neno Albino linamaanisha
mtu mweupe, linatokana na
neno la lugha ya Kilatini -
albus-linamaanisha “eupe”.
Kuanzia karne ya 17 neno
Albino limekuwa likitumika
katika kueleza hali ya kundi
la viumbe hai (watu, wanyama
na hata mimea) ambao wana
upungufu au ukosefu wa rangi
katika ngozi, macho na nywele.
Kwa binadamu ni bora kutumia
maneno “Watu wanaoishi na
ualbino
kwani itamaanisha kuwa ni watu kama wengine ila wanaishi na
hali tofauti ya “ualbino”. Katika kitabu hiki maneno haya mawili
yatatumika.
Lugha inajenga dhana na kuunda hali ya ukweli / uhalisi. Kwa
sababu hiyo ni lazima tuache kutumia maneno kama “zeruzeru”.
Neno hili linamaanisha sifuri mara mbili au mtu asiye na
thamani. Utumiaji wa neno hili ni dharau ya utu na kulaumu
watu wanaoishi na ualbino kama kosa lao.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...6CHUQFgguMAM&usg=AOvVaw2gawb7eOct8MaSRVz6u-B_
Kama utambulisho wa rangi ya ngozi ungekuwa sio tatizo basi watu wenye ngozi nyeusi wasingejisikiwa vibaya wanapotambukiwa kama N**ger. Au hata wachina wangefurahi watu wakiwaonyesha ishara ya maumbile ya macho yao. We need to be judged by our character not by the colour of our skin.Jina ni utambulisho binafsi tu!
Don't be emotional.
Shusha pumzi kisha tamka zeruzeru, means "Eupe eupe"
Kumbuka neno hili linatokana na Blackman perception.