Mbona mimi nina magari matatu na naweza kusafiria lolote na ninapigia misele lolote? Ina maana siijoi maisha?Mtazamo wangu naona ukiwa na magari mawili yaani moja la misele yako ya kilasiku na nyingine Kwaajili ya safari ndefu..hapa utafutahia Sana maisha
Umeona sasa. Mbona hajanunua cruiser mkonge aende nalo huko?Mbagala naionaga ya mtoti wa Bakhressa anavyoenda Chamazi 😂😂
Sasa Prado si ndio zinaangukaanguka hovyyo? Mara tairi imechomoka sijui ball joint imefanya nini. Ukizoea gari za Ulaya inabidi u adapt Mjapan la sivyo utaanguka nalo!Ukiona mtandaoni wako na magari ya ulaya. Siku ukisikia wamepata ajali utasikia walikua wanaendesha prado.
Hahahaha 🤣 🤣 😂 😂 🤣 upo kwenye miongoni mwao wanaokula mema ya nchi.Mbona mimi nina magari matatu na naweza kusafiria lolote na ninapigia misele lolote? Ina maana siijoi maisha?
NB: Magari ya kawaida msianze kutoa mapovu.
Kuna kampuni ya wabongo wanamiliki mgodi wa makaa ya mawe Ludewa, wao gari za engineers na staff wengine wamewapa Ford Ranger XLT. Mgodi ulipo ni ndani ndani,barabara mbovu na wanaziburuza kweli wengine wanakuja nazo mpaka Dar. Ila gari ikifa bado wanarudi kununua Ford Ranger tenaDah ivo vyuma aisee, naishiaga kuvitamani tu
Ile utasumbuana na matrafiki tu.Mad Max number plates za 3D zilipigwa marufuku? if yes, ni kwa nini? nikiweka kwenye gari TRA watadai chao au polisi watakamata gari?
Ndio maana mimi ndoto yangu ninunue kati ya ford ranger, amarok, hilux au fortuner au Prado. Naamini moja kati ya hizi gari ntazeeka nayo nikinunua.Nilivyokuwa mdogo, kama miaka 13-14, nilikuwa napenda kusoma vitabu vya baba yangu.
Alikuwa anapenda sana kusoma American business and advice books. Lee Iacocca, Harvey Mackay, Jack Welch, Norman Vincent Peale etc.
Nakumbuka kitabu kimoja cha Harvey Mackay kinaitwa "Swimming With The Sharks Without Being Eaten Alive" alitoa ushauri mmoja wa kunujua magari ya bei rahisi na nyumba za bei kubwa.
Alielezea kuwa magari ni liability, ukilinunua tu lina depreciate, lina ku cost.
Nyumba ni kitu kinacho appreciate.
Nikaushika ushauri huo mpaka leo, nanunua magari ya bei rahisi tu nimetoka kwenye BMW X3, nimeenda kwenye BMW X5.
Sitaki magari ya gharama kubwa kwa kufuata ushauri wa Harvey Mackay ninaoukumbuka tangu siku hizo.
Hujakosea. Zote ni gari nzuri. Ila Ford Ranger…… Chombo ya maana sana.Ndio maana mimi ndoto yangu ninunue kati ya ford ranger, amarok, hilux au fortuner au Prado. Naamini moja kati ya hizi gari ntazeeka nayo nikinunua.
Habari ya kununua migari mingi ya gharama tena kila toleo ni ulimbukeni tu.
Hapa tuwekane sawa. Kuna Mzee wangu flani ana Suzuki swift kama daily Drive alafu ana Grand Vitara kama gari ya mtoko (hii Kila baada ya siku mbili inaoshwa ila haitembei, inaweza kukaa hata miezi sita haijawai Toka nje ya gate)