Msiende kuangalia mpira matokeo tayari, Chelsea kapigwa magili 2! Barcelona kapita

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Jaman matokeo ninayo Barca kampiga Chelsea magoli mawili na mpira umeisha hivo hivo Barca kapita
---------------

Baada ya sare ya 1-1 wiki mbili zilizopita, leo tunaumaliza utata wa timu gani itasonga mbele kwenda kwenye robo fainali ya Champions League.
:
Andres Iniesta hana ufiti wa asilimia 100 na huenda akaanzia benchi, Barcelona kupitia kocha wao wanasema ni maamuzi ya Iniesta mwenyewe na namna anavyojisikia ndio ataamua kuhusika na mchezo au hapana.
.
Chelsea wao wamepata afueni baada ya Rudigwr kurejea kikosini baada ya kukosa mchezo wa Crystal Palace - hakuna majeruhi mpya katika kikosi cha Conte.
:
Takwimu
:
•68% ya timu za ugenini ambazo zilipata sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza wa mtoano wa UCL hufuzu kucheza hatua inayofuata - timu 23 kati ya 34 zilizopata matokeo hayo zilifuzu.
:
• Huu ni mchezo wa 14 baina ya timu hizi katika mashindano haya - kuna fixtures mbili tu ambazo zimechezwa mara nyingi kuliko mchezo wa timu hizi mbili katika UCL - Bayern v Real Madrid (mara 18) na Barcelona v Milan (15).
:
•Mechi 6 kati ya 13 zilizopita ziliisha kwa sare.
:

Lakin kete yangu iko Kwa Barcelona kusonga mbeleeee

Lakin takwimu zinaonesha 70% ya mtoano ambao Barcelona walitoka Sare mechi ya Kwanza mechi ya pili walisonga mbele

 
PSG kapigwa kwao
TOTTENHAM kapigwa kwao
MANCHESTER CITY kapigwa kwao
MANCHESTER UNITED kapigwa kwao

Lolote laweza kutokea pale mjini Barcelona
 
PSG kapigwa kwao
TOTTENHAM kapigwa kwao
MANCHESTER CITY kapigwa kwao
MANCHESTER UNITED kapigwa kwao

Lolote laweza kutokea pale mjini Barcelona
Pale haiwezekani bro maana pale nyasi za uwanjani zitakatwa kimo cha chini Sana alafu na kumwaga maji maji kidogo , pasi inaguswa inateleza ni hatari
 
Game itakuwa very very tight lakini in the end Barca atapita...Chelsea alifanya mistake sikuile pale Darajani kutoa droo, tena ya magoli!
 
Reactions: PNC
Leo Mfalme anawashikisha adabu wanafunzi wake. Lengo lake ni moja tu,, ni kuwaonyesha/kuwafundisha mpira unavyochezwa...


My Prediction:

Blauzi 1-3 Barca

Messi 2
Mnyama 1



 
Reactions: PNC
Kwani hili nalo linahitaji sayansi ya roketi kujua nani anafungwa leo? Kufikiri Chelsea itapita hatua hii ni pipedreams
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…