Msigwa agoma kuhusika ku-Like kwenye post ya Mange Kimambi, anasema michezo hiyo tulicheza kitambo

kwani ukibonyeza tena si inajitoa?
Wanaojua kusoma ''viganja'' tunajua kabisa kuwa ni kweli ali-like. Na tunajua kabisa kuwa wengi walio karibu na Samia hawapendezwi na anachofanya ila aidha wanaogopa nani amfunge paka kengele au wanafaidi na ufisadi uliopo hivyo wanaona wapige kimya ili waendelee kufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…