Msigwa agoma kuhusika ku-Like kwenye post ya Mange Kimambi, anasema michezo hiyo tulicheza kitambo

Msigwa agoma kuhusika ku-Like kwenye post ya Mange Kimambi, anasema michezo hiyo tulicheza kitambo

Hakuna cha bahati mbaya hapa. Halafu yeye kujibu haraka sana na kwa kirefu na lugha ya namna hii inaonyesha kabisa ameogopa sana kuwa kitumbua cahke kitaingia mchanga. Ukiona mtu anachukuwa muda mrefu sana kujitetea ujue kuna namna.
Kwa mtu makini angekaa zake kimya hata kama ame like.
 
Msemaji mwenyewe hajui hata kuandika! Ati "WELEVU"!

Hiyo nafasi si bora wanipe mimi tu nikale kuku za Ikulu kuliko huyo mbwiga asiyejua Lugha?

Samia hebu niweke hapo nikusaidie, lakini ukubaliane na sura yangu usije ukasema ninatisha, La hasha, nimerithi sura ya babu yangu alikuwa mpigania uhuru.

Usiangalie sura, angalia roho.

Cc: October 2pm Lucas Mwashambwa Mbaga Jr Poor Brain Yohimbe bark na mjomba angu Harmful
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Huyu msigwa ni kati ya watu walioufanya utawala wa mama uonekane wa hovyo,niliwahi kushaur hapa mama kazungukwa na watu wa hovyo
 
Naona amepanic 😁
1000070348.jpg
 
Katika wasemaji wa Serikali tangu hiyo nafasi ipewe umuhimu,Msigwa is the best.
 
Back
Top Bottom