Msigwa agoma kuhusika ku-Like kwenye post ya Mange Kimambi, anasema michezo hiyo tulicheza kitambo

Msigwa agoma kuhusika ku-Like kwenye post ya Mange Kimambi, anasema michezo hiyo tulicheza kitambo

Hii ni serikali ya kihuni msemaji hajielewi nikiangalia mfano msemaji wa serikali ya china naona huyu ni kama msemaji wa ma-machinga
Hivi huyu Msigwa ni msemaji wa serikali ama msengenyaji wa serikali?

Ukweli ni kwamba alilike, anachojaribu kufanya ni kujikosha mbele ya umma
 
NINTCHDBPICT000620243723-2.jpg

Nadhani IT wa account ya papa aliijisahau.

Hahahah dada wa watu akatembea na upepo kujikuzia brand 😀
 
Jinga sana hilo huwa ndiyo kiongozi wa machawa . Chawa promax
 
Sasa huyo binti anapata faida gani kuwalipua hadharani potential allies, watu ndani ya serikali wanaonyesha nia ya kumuunga mkono na kuchukia vitendo viovu vya serikali yao?

Anapata faida gani kuwaumbua na kuwakejeli? Sio ni bora angejipanga ashirikiane nao kupata taarifa nyingine nyeti zaidi.
 
Back
Top Bottom