Kwa mtu makini angekaa zake kimya hata kama ame like.Hakuna cha bahati mbaya hapa. Halafu yeye kujibu haraka sana na kwa kirefu na lugha ya namna hii inaonyesha kabisa ameogopa sana kuwa kitumbua cahke kitaingia mchanga. Ukiona mtu anachukuwa muda mrefu sana kujitetea ujue kuna namna.
Una akili nyingi halafu unam-support huyu mtekaji, mlawiti, mtesaji, muuaji na fisadi wa kiwango cha juu? Nadhani hata kama unafaidi na utawala wake, haita-justfy kutaka aendelee kwani na wewe ni kama unaunga mkono anachofanya.Mimi ni mtu mwenye akili mingi. Huyo bwege ali-like.
badili username mkuu kwa faida yako mwenyewe.Mimi ni mtu mwenye akili mingi. Huyo bwege ali-like.
Sintobadilibadili username mkuu kwa faida yako mwenyewe.
Huyu chalii Msigwa ndiyo mbumbumbu kiasi cha kushindwa kufahamu kuwa hakuna neno WELEVU katika Kiswahili? Au na yenyewe atasema ni photoshop? Kuandika kwa capital letters ni moja ya signs za stupidness.
Mkuu mtu hufanya kazi na wale anaoendana nao. Hao watu wazuri makini atawatoa wapi?Huyu msigwa ni kati ya watu walioufanya utawala wa mama uonekane wa hovyo,niliwahi kushaur hapa mama kazungukwa na watu wa hovyo
Nimekumbuka kuna kipindi page ya Papa ili like Tako la mwana dada mmoja muhuni muhuni
Akajiandikia, kama papa mwenyewe ameuelewa mzigo(Trako) wewe nani sasa? 🤣
Kuwa winga kunahitaji akili ya ziada acha kabisa!Machinga wanaakil labda walimu
Mange angeposti katika vazi kama hilo lenye kuonyesha mlango wa uani ulivyonona hata mimi Imho ningelike😜
Nadhani IT wa account ya papa aliijisahau.
Hakuna muda wa kurelax tena mwendo ni kikaangoni na mkaango tu.Naona amepanic 😁View attachment 3490601