Msigwa agoma kuhusika ku-Like kwenye post ya Mange Kimambi, anasema michezo hiyo tulicheza kitambo

Hii ni serikali ya kihuni msemaji hajielewi nikiangalia mfano msemaji wa serikali ya china naona huyu ni kama msemaji wa ma-machinga
Hivi huyu Msigwa ni msemaji wa serikali ama msengenyaji wa serikali?

Ukweli ni kwamba alilike, anachojaribu kufanya ni kujikosha mbele ya umma
 
Jinga sana hilo huwa ndiyo kiongozi wa machawa . Chawa promax
 
Sasa huyo binti anapata faida gani kuwalipua hadharani potential allies, watu ndani ya serikali wanaonyesha nia ya kumuunga mkono na kuchukia vitendo viovu vya serikali yao?

Anapata faida gani kuwaumbua na kuwakejeli? Sio ni bora angejipanga ashirikiane nao kupata taarifa nyingine nyeti zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…