Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.
So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya kuishi hapo miaka ile, ambapo idadi yao ilikuwa ni ndogo na idadi ya wanyama na pori ilikuwa kubwa.
Ila kwa mabadiliko yanayotokea ulimwenguni, na kila mtu anaona ni kuwa binadamu wamekuwa na uwezo mkubwa wa kiteknlojia wa kukabilina na mazingira na kupelekaa biunadamu kuongezeka kwa kasi mara dufu kuliko wanyama na kuchukua nafasi yao.
Iweje watu mnapinga hao wamasai kuondolewa na kupewa mapori mengine? hao wamasia wataachwa waongezeke hadi lini? maana hawana limit watafikia hadi milioni kadhaa.
Mimi naungana na hoja ya Msigwa, mimi ni mwanamamazingira na nimekuwa na utafiti wangu binafsi kuhusu uhusiano wa wanyama na binadmu.
Binadamu wanapoongezeka wanyama lazima wanaondoka tu karibu na maeneo, hata kama wasipowindwa,
Utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 20 kijijini kwetu kuanzia miaka ya 1990s, ni miaka ya nyuma kulikuwa na popo, bundi na vipepeo wengi sana, lakini kutokana na watu kuongezeka na miundombinu kuimarishwa, wale popo, bundi na vipepeo sasa hivi kuwaona ni nadra sana, japokuwa hakuna mtu aliyekuwa anawawinda.
Je, nini kiliwafanya kupotea? mazingira yetu kuna vitu vidogovidogo sana ambavyo hatuvioni ila vina impact kubwa kwa wanyama na kama tukiviharibu wanyama wanakimbia, kwa case ya kijijini kwetu nilikuja kugundua wanyama hao na wadudu wadogo wadogo waliondoka kwa sababu kuna mazingira na kama vile vichaka, mapori, matunda ya porini, na wadudu ambao walikuwa wakitegemewa na hao wanyama na wadudu kuangamizwa na shughuli za kibinadamu na kuwafanya wao kuathirika na kukimbia au kufariki.
Mfano kulikuwa na mapori ambayo kulikuwa na sungura wadogo wanaishi, wale sungura walikuwa wakiwindwa na bundi, sasa yale mapori yakafanywa kuwa mashamba na makazi ya watu na wale sungura kupotea na hivyo bundi nao wakapotea
So suala na Ngorongoro sio kuangalia kuwa wamasai hawawindi wanyama ama la, uwepo wao pale na ongezeko lao linavuruga ikolojia ambayo inaathiri sana wanyama bila sisi kujua kwa jicho la kawaida
Serikali iwaondoe wamsai na kuwatafutia mapori mengine kwa lazima