Msigwa amhoji Tundu Lissu kupinga Wamasai kuhamishwa Ngorongoro, Lissu akosa majibu

Mkuu wengine hujatutendea haki kwani umeweka hoja za msigwa na zako tu bila kushirikisha hoja za TL ambazo wengine hatuzijui au unajaribu kuwachonganisha kisiasa?
Nenda YouTube utazikuta clips kibao ziko huko.
 
Mimi kwenye suala la ngorongoro napishana na chadema. It's high time sasa tuache cheap politics. Masai lazima waondoke
 
Hao watu wanaosema wamasai wataondolewa ili wapewe wawekezaji wana ushahidi wowote au ni hisia tu?

Kwani wataondolewa kwa kuswagwa kama mifugo bila makumaliano ya kimkataba wenye makatazo. Mkataba useme Wanaondolewa Wamasai wasije watu wengine kufanya makao yao hapo walipohamishwa Wamasai.

Utakuta wengi wanao bisha kuondoka hapo Ngorongoro wana sehemu za kufanyia matambiko aka madhabahu za miungu baali. Wanajiuliza tukiondoka miungu yetu itabaki na nani?

Serekali iwape assurance wataruhusiwa mara moja kwa mwaka kwenda kwa ajili ya ziara ya kusalimia miungu wa koo zao na kufanya matambiko.
 
Mkuu umesoma Jografia ya shule ya msingi wewe? Unalijua jangwa la Kalahari? Ingia basi kwenye ramani ya Afrika uangalie!! Karibia mchi mzima ya Botswana imefunikwa na jangwa!
Karibu mkuu mimi nipo huku Kasane, Botswana 🇧🇼, acha upumbavu why tubishane kuhusu geography ya nchi?hapa cha kuongelea ni kuhusu economy ya nchi na jinsi gani wenzetu wamemudu kuthibiti ongezeko la watu na mbinu gani wanatumia kuruhusu binadamu na wild animals waishi pamoja, hapa Kasane kuna wild animals corridor ndani ya mji!,upuuzi tulioufanya sisi ni kutokua na mipango thabiti ya to keep on check population yetu, na hili lilisababishwa na president Nyerere kuwaogopa Roman catholic church
 
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.

So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya kuishi hapo miaka ile, ambapo idadi yao ilikuwa ni ndogo na idadi ya wanyama na pori ilikuwa kubwa.

Ila kwa mabadiliko yanayotokea ulimwenguni, na kila mtu anaona ni kuwa binadamu wamekuwa na uwezo mkubwa wa kiteknlojia wa kukabilina na mazingira na kupelekaa biunadamu kuongezeka kwa kasi mara dufu kuliko wanyama na kuchukua nafasi yao.

Iweje watu mnapinga hao wamasai kuondolewa na kupewa mapori mengine? hao wamasia wataachwa waongezeke hadi lini? maana hawana limit watafikia hadi milioni kadhaa.

Mimi naungana na hoja ya Msigwa, mimi ni mwanamamazingira na nimekuwa na utafiti wangu binafsi kuhusu uhusiano wa wanyama na binadmu.

Binadamu wanapoongezeka wanyama lazima wanaondoka tu karibu na maeneo, hata kama wasipowindwa,

Utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 20 kijijini kwetu kuanzia miaka ya 1990s, ni miaka ya nyuma kulikuwa na popo, bundi na vipepeo wengi sana, lakini kutokana na watu kuongezeka na miundombinu kuimarishwa, wale popo, bundi na vipepeo sasa hivi kuwaona ni nadra sana, japokuwa hakuna mtu aliyekuwa anawawinda.

Je, nini kiliwafanya kupotea? mazingira yetu kuna vitu vidogovidogo sana ambavyo hatuvioni ila vina impact kubwa kwa wanyama na kama tukiviharibu wanyama wanakimbia, kwa case ya kijijini kwetu nilikuja kugundua wanyama hao na wadudu wadogo wadogo waliondoka kwa sababu kuna mazingira na kama vile vichaka, mapori, matunda ya porini, na wadudu ambao walikuwa wakitegemewa na hao wanyama na wadudu kuangamizwa na shughuli za kibinadamu na kuwafanya wao kuathirika na kukimbia au kufariki.

Mfano kulikuwa na mapori ambayo kulikuwa na sungura wadogo wanaishi, wale sungura walikuwa wakiwindwa na bundi, sasa yale mapori yakafanywa kuwa mashamba na makazi ya watu na wale sungura kupotea na hivyo bundi nao wakapotea

So suala na Ngorongoro sio kuangalia kuwa wamasai hawawindi wanyama ama la, uwepo wao pale na ongezeko lao linavuruga ikolojia ambayo inaathiri sana wanyama bila sisi kujua kwa jicho la kawaida

Serikali iwaondoe wamsai na kuwatafutia mapori mengine kwa lazima

Tunachopinga ni kuamishwa kwa nguvu au kwa njia yoyote ile ya kilagai. Kama kuhama wahame kwa makubaliano na mioyo mweupe
 
Wewe unachanganya madawa. Hiyo mifano unayotoa huko kwingine kote ni tofauti na Ngorongoro. Ngorongoro wanyama na binadamu wameishi pamoja kwa muda mrefu sana. Hilo eneo wamasai wamekuwepo kwa muda mrefu sawa na wanyama. Ni kweli kwamba wamasai wameongezeka idadi na hawawezi kuendelea kukaa pale wote milele. Utaratibu ufanywe wapewe elimu na wahamishwe kwa staha. Wakubaliane na serikali kuwa idadi ya watakaobaki iwe ndogo. Tatizo kubwa lipo kwa serikali na wanaopiga debe wamasai wahamishwe. Serikali imetumia mbinu za janja janja kukabiliana na hili jambo. Kwa nini itafute wamasai bandia waseme kuwa wamekubali kuhama? Kwa nini ''waandishi'' wa habari uchwara kama kina Kitenge walivalia njuga hili jambo kiasi cha kuhonga waandishi wengine eti wasapoti uhamaji? Hapo inatupeleka kwenye hofu kuu ya watu wengi: awamu hii ina elements za ufisadi na upigaji nyingi, je, kuna namna nyuma? Je, ni kweli kwamba kuna watu wanataka kupewa hayo maeneo na ndiyo wanashinikiza? All in all, hili jambo siyo kubwa kama inavyodhaniwa kama serikali ingetumia uwazi na ukweli kulishughulikuia.
Naunga mkono hoja yako.

Hii suala sio kubwa kama wahusika wa pande zote wangeshirikiana kwa uwazi na kirafiki, tatizo ni watu kuzoea ujanja ujanja.
 
Kwani wataondolewa kwa kuswagwa kama mifugo bila makumaliano ya kimkataba wenye makatazo. Mkataba useme Wanaondolewa Wamasai wasije watu wengine kufanya makao yao hapo walipohamishwa Wamasai.

Utakuta wengi wanao bisha kuondoka hapo Ngorongoro wana sehemu za kufanyia matambiko aka madhabahu za miungu baali. Wanajiuliza tukiondoka miungu yetu itabaki na nani?

Serekali iwape assurance wataruhusiwa mara moja kwa mwaka kwenda kwa ajili ya ziara ya kusalimia miungu wa koo zao na kufanya matambiko.
Kwani hoja zao ni hizo?
Hoja zao zingekuwa hizo ingekuwa rahisi

Hawa watu wanakataa fact Kuwa hakuna uharibifu, na hapo ndio hata hizi negotiations nyingine zinashindikana
 
Shetani anakuja kama malaika wa nuru. Magomeni na Mikocheni miaka ya 1950s kulikuwa na chui, fisi na simba. TANU ambayo ni sehemu ya CCM ya sasa ilikuwa na landirova moja tu.
 
Hoja yako hapa ni nini?
 
Hoja yako hapa ni nini?

Dsm ilikuwa ni mbuga kama Ngorongoro. Shughuli za kibinadamu zimeigeuza kuwa Jiji Makao makuu ya Kibiashara Tanzania. Kilicho ibadilisha DSM kitaibadilisha Ngorongoro hao Wamasai wasipo hama.

Kwanza Wamasai wa Ngorongoro wanayo bahati. Unahamishwa unapewa nyumba ya viumba vitatu na ekari 5. Wawaulize Watanzania wengine madhila waliyo kuwa wanakutana nayo kutoka kwa askari wa Wanyapori kabla JPM hajaingia madarakani.
 
Kwani hoja zao ni hizo?
Hoja zao zingekuwa hizo ingekuwa rahisi

Hawa watu wanakataa fact Kuwa hakuna uharibifu, na hapo ndio hata hizi negotiations nyingine zinashindikana
Sio wafugaji tu wanaoalibu mazingila, hata maujenzi ya mahoteli makubwa mbugani nayo yanahalibu mazingira
 
Nenda YouTube utazikuta clips kibao ziko huko.

Simu nyingine hazina YTube ndio maana imeombwa kujuzwa, lakini kama ni lazima Wamasai kuhama basi nao wamasai wapate dhamana ya kitu kidogo kinachotokana na wanyama kwa maisha yao yote ili mwarabu asije kupenya kama alivyozoea.... serikali ibaki na ardhi kama zile nyumba zaa magomeni walivyouziwa wanyonge
 
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.

So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya kuishi hapo miaka ile, ambapo idadi yao ilikuwa ni ndogo na idadi ya wanyama na pori ilikuwa kubwa.

Ila kwa mabadiliko yanayotokea ulimwenguni, na kila mtu anaona ni kuwa binadamu wamekuwa na uwezo mkubwa wa kiteknlojia wa kukabilina na mazingira na kupelekaa biunadamu kuongezeka kwa kasi mara dufu kuliko wanyama na kuchukua nafasi yao.

Iweje watu mnapinga hao wamasai kuondolewa na kupewa mapori mengine? hao wamasia wataachwa waongezeke hadi lini? maana hawana limit watafikia hadi milioni kadhaa.

Mimi naungana na hoja ya Msigwa, mimi ni mwanamamazingira na nimekuwa na utafiti wangu binafsi kuhusu uhusiano wa wanyama na binadmu.

Binadamu wanapoongezeka wanyama lazima wanaondoka tu karibu na maeneo, hata kama wasipowindwa,

Utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 20 kijijini kwetu kuanzia miaka ya 1990s, ni miaka ya nyuma kulikuwa na popo, bundi na vipepeo wengi sana, lakini kutokana na watu kuongezeka na miundombinu kuimarishwa, wale popo, bundi na vipepeo sasa hivi kuwaona ni nadra sana, japokuwa hakuna mtu aliyekuwa anawawinda.

Je, nini kiliwafanya kupotea? mazingira yetu kuna vitu vidogovidogo sana ambavyo hatuvioni ila vina impact kubwa kwa wanyama na kama tukiviharibu wanyama wanakimbia, kwa case ya kijijini kwetu nilikuja kugundua wanyama hao na wadudu wadogo wadogo waliondoka kwa sababu kuna mazingira na kama vile vichaka, mapori, matunda ya porini, na wadudu ambao walikuwa wakitegemewa na hao wanyama na wadudu kuangamizwa na shughuli za kibinadamu na kuwafanya wao kuathirika na kukimbia au kufariki.

Mfano kulikuwa na mapori ambayo kulikuwa na sungura wadogo wanaishi, wale sungura walikuwa wakiwindwa na bundi, sasa yale mapori yakafanywa kuwa mashamba na makazi ya watu na wale sungura kupotea na hivyo bundi nao wakapotea

So suala na Ngorongoro sio kuangalia kuwa wamasai hawawindi wanyama ama la, uwepo wao pale na ongezeko lao linavuruga ikolojia ambayo inaathiri sana wanyama bila sisi kujua kwa jicho la kawaida

Serikali iwaondoe wamsai na kuwatafutia mapori mengine kwa lazima
Suala hili la kutaka kupunguza idadi ya Maasai wanaoishi hapo halikwepeki. Ni ukweli uliokuwa dhahiri ya kwamba wanaishi hapo kwa fadhila na huruma ya kisiasa tu, na wala siyo haki za kisheria. Kama ongezeko la idadi ya Maasai katika eneo hilo tengefu ambalo lipo kisheria, imedhihirika kuwa linatishia ustawi na maisha ya wanyama pori, basi haipaswi kupepesa macho wala kuuzunguka mbuyu, inawapasa waondolewe kwa utaratibu maalum.
 
T
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.

So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya kuishi hapo miaka ile, ambapo idadi yao ilikuwa ni ndogo na idadi ya wanyama na pori ilikuwa kubwa.

Ila kwa mabadiliko yanayotokea ulimwenguni, na kila mtu anaona ni kuwa binadamu wamekuwa na uwezo mkubwa wa kiteknlojia wa kukabilina na mazingira na kupelekaa biunadamu kuongezeka kwa kasi mara dufu kuliko wanyama na kuchukua nafasi yao.

Iweje watu mnapinga hao wamasai kuondolewa na kupewa mapori mengine? hao wamasia wataachwa waongezeke hadi lini? maana hawana limit watafikia hadi milioni kadhaa.

Mimi naungana na hoja ya Msigwa, mimi ni mwanamamazingira na nimekuwa na utafiti wangu binafsi kuhusu uhusiano wa wanyama na binadmu.

Binadamu wanapoongezeka wanyama lazima wanaondoka tu karibu na maeneo, hata kama wasipowindwa,

Utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 20 kijijini kwetu kuanzia miaka ya 1990s, ni miaka ya nyuma kulikuwa na popo, bundi na vipepeo wengi sana, lakini kutokana na watu kuongezeka na miundombinu kuimarishwa, wale popo, bundi na vipepeo sasa hivi kuwaona ni nadra sana, japokuwa hakuna mtu aliyekuwa anawawinda.

Je, nini kiliwafanya kupotea? mazingira yetu kuna vitu vidogovidogo sana ambavyo hatuvioni ila vina impact kubwa kwa wanyama na kama tukiviharibu wanyama wanakimbia, kwa case ya kijijini kwetu nilikuja kugundua wanyama hao na wadudu wadogo wadogo waliondoka kwa sababu kuna mazingira na kama vile vichaka, mapori, matunda ya porini, na wadudu ambao walikuwa wakitegemewa na hao wanyama na wadudu kuangamizwa na shughuli za kibinadamu na kuwafanya wao kuathirika na kukimbia au kufariki.

Mfano kulikuwa na mapori ambayo kulikuwa na sungura wadogo wanaishi, wale sungura walikuwa wakiwindwa na bundi, sasa yale mapori yakafanywa kuwa mashamba na makazi ya watu na wale sungura kupotea na hivyo bundi nao wakapotea

So suala na Ngorongoro sio kuangalia kuwa wamasai hawawindi wanyama ama la, uwepo wao pale na ongezeko lao linavuruga ikolojia ambayo inaathiri sana wanyama bila sisi kujua kwa jicho la kawaida

Serikali iwaondoe wamsai na kuwatafutia mapori mengine kwa lazima

Tundu Lissu kajichokea,huwezi kutunga sheria kusema wamasai tu ndio waishi Ngorongoro.Kwamba anaamini wamasai wako idadi Ile Ile na hawabadiliki tabia
 
Karibu mkuu mimi nipo huku Kasane, Botswana 🇧🇼, acha upumbavu why tubishane kuhusu geography ya nchi?hapa cha kuongelea ni kuhusu economy ya nchi na jinsi gani wenzetu wamemudu kuthibiti ongezeko la watu na mbinu gani wanatumia kuruhusu binadamu na wild animals waishi pamoja, hapa Kasane kuna wild animals corridor ndani ya mji!,upuuzi tulioufanya sisi ni kutokua na mipango thabiti ya to keep on check population yetu, na hili lilisababishwa na president Nyerere kuwaogopa Roman catholic church
Wewe ndiye unayetaka kuleta upumbavu! Utaulizaje kwamba Botswana ni jangwa wakati inajulikana kabisa kwamba Botswana iko ndani ya jangwa la Kalahari? Wacha hizo mwamba!!
 
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.

So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya kuishi hapo miaka ile, ambapo idadi yao ilikuwa ni ndogo na idadi ya wanyama na pori ilikuwa kubwa.

Ila kwa mabadiliko yanayotokea ulimwenguni, na kila mtu anaona ni kuwa binadamu wamekuwa na uwezo mkubwa wa kiteknlojia wa kukabilina na mazingira na kupelekaa biunadamu kuongezeka kwa kasi mara dufu kuliko wanyama na kuchukua nafasi yao.

Iweje watu mnapinga hao wamasai kuondolewa na kupewa mapori mengine? hao wamasia wataachwa waongezeke hadi lini? maana hawana limit watafikia hadi milioni kadhaa.

Mimi naungana na hoja ya Msigwa, mimi ni mwanamamazingira na nimekuwa na utafiti wangu binafsi kuhusu uhusiano wa wanyama na binadmu.

Binadamu wanapoongezeka wanyama lazima wanaondoka tu karibu na maeneo, hata kama wasipowindwa,

Utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 20 kijijini kwetu kuanzia miaka ya 1990s, ni miaka ya nyuma kulikuwa na popo, bundi na vipepeo wengi sana, lakini kutokana na watu kuongezeka na miundombinu kuimarishwa, wale popo, bundi na vipepeo sasa hivi kuwaona ni nadra sana, japokuwa hakuna mtu aliyekuwa anawawinda.

Je, nini kiliwafanya kupotea? mazingira yetu kuna vitu vidogovidogo sana ambavyo hatuvioni ila vina impact kubwa kwa wanyama na kama tukiviharibu wanyama wanakimbia, kwa case ya kijijini kwetu nilikuja kugundua wanyama hao na wadudu wadogo wadogo waliondoka kwa sababu kuna mazingira na kama vile vichaka, mapori, matunda ya porini, na wadudu ambao walikuwa wakitegemewa na hao wanyama na wadudu kuangamizwa na shughuli za kibinadamu na kuwafanya wao kuathirika na kukimbia au kufariki.

Mfano kulikuwa na mapori ambayo kulikuwa na sungura wadogo wanaishi, wale sungura walikuwa wakiwindwa na bundi, sasa yale mapori yakafanywa kuwa mashamba na makazi ya watu na wale sungura kupotea na hivyo bundi nao wakapotea

So suala na Ngorongoro sio kuangalia kuwa wamasai hawawindi wanyama ama la, uwepo wao pale na ongezeko lao linavuruga ikolojia ambayo inaathiri sana wanyama bila sisi kujua kwa jicho la kawaida

Serikali iwaondoe wamsai na kuwatafutia mapori mengine kwa lazima

Bado mnapush tu agenda baada ya kutembezewa hivo vibahasha vya kaki?
 
Back
Top Bottom