MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Usiwe mbishi hata kwa vitu vinavyoonekana. Nenda airport ya JNI, KIA na Zanzibar ukajionee mwenyeweCountry's gateway airport kuwa na tundege sita tu Ni aibu, halafu eti mnajisifu mmechafua
Hapo tegemea matusi toka kwa wafuasi wa NI YEYE.. Wenyewe wanatamani kusikia ndege haziji na tumetengwa na nchi za ulaya. Kumbe wazungu Sasa hivi wanaambiana East Africa nchi ya kukimbilia kupunguza stress za Corona ni Tanzania tu. Leo nimetembelea viwanja kibao Dar kuanzia city center hadi pembezoni kote nakutana na wazungu kibao wanacheza mziki balaa bila barakoa. Nimegundua JPM ni genius. Wazungu kumbe wakipata upenyo wa flight inayokuja bongo wanakimbilia Tanzania. Anayembishia mleta thread aende JNIA.
Hayo ni madege ya Magufuli yapo hapo miaka na hiyo Emirates moja labda imeleta Waarabu kuwatembelea Waislam wenzao lakini hakuna Uwanja wa kimataifa duniani uliofungwa labda wa Chato tu. Uwanja wa Dubai, mji wa watu milioni 2, unauwezo wa kuhudumia abiria milioni 100 kwa mwaka ambapo gateway Airport unauwezo wa kuhudumia abiria milioni 5 tu kwa mwaka, sawa na wa jangwani kule Emirate.Country's gateway airport kuwa na tundege sita tu Ni aibu, halafu eti mnajisifu mmechafua
Mkuu, huoni aibu kutoa arguments za kitoto hivyo? You can do better than tundu lissu, please!Hayo ni madege ya Magufuli yapo hapo miaka na hiyo Emirates moja labda imeleta Waarabu kuwatembelea Waislam wenzao lakini hakuna Uwanja wa kimataifa duniani uliofungwa labda wa Chato tu. Uwanja wa Dubai, mji wa watu milioni 2, unauwezo wa kuhudumia abiria milioni 100 kwa mwaka ambapo gateway Airport unauwezo wa kuhudumia abiria milioni 5 tu kwa mwaka, sawa na wa jangwani kule Emirate.
Yaani mtu analipwa mshahara kwa propaganda ya kitoto namna hii
Upuuzi mtupu huu
Kawadanganye lumumba wenzakoView attachment 1696379
Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Magufuli ameweka picha akiwazodoa wanaosema ndege haziji Tanzania.
Nami nakubaliana naye kuwa Uwanja wetu wa kisasa JNIA unapokea ndege nyingi kupita kiasi ( kuchafuka).
Tanzania inatajwa kuwa ni moja ya nchi chache Afrika zinazopendwa sana kutembelewa na watu wengi . Hali inasababishwa na mazingira bora, usalama mkubwa, miundombinu ya kisasa, siasa safi na demokrasia na uchumi bora.
Maoni yaliyokusanywa na mwanaharakati Chakabars huko Twitter, katika nchi 54 Tanzania ilishika namba 1 kama nchi ambayo African Americans wangependa kuishi endapo itawabidi kuishi Afrika.
Watawadanganya lumumba wenzao walio kubali kushikiwa akili na chakubangaMna propaganda za kitoto sana.
Bora Millard Ayo ama Maulid Kitenge wangepewa iyo nafasi ya Msigwa.
Ukiona hali kama hiyo jua kuwa hali ni teteCountry's gateway airport kuwa na tundege sita tu Ni aibu, halafu eti mnajisifu mmechafua
Wewe mwenyewe ni mtumwa wa ccmSubirini BBC /DW wache , utasikia hospitali zimejaa wagonjwa wa corona, akili za kitumwa ni mbaya.