Wacha uzuzu wewe mtumwa wa koromitjeUsiwe mbishi hata kwa vitu vinavyoonekana. Nenda airport ya JNI, KIA na Zanzibar ukajionee mwenyewe
Ndege za kuja bongo zimekua kama mabasi ya mbagala full kugombaniaHapo tegemea matusi toka kwa wafuasi wa NI YEYE.. Wenyewe wanatamani kusikia ndege haziji na tumetengwa na nchi za ulaya. Kumbe wazungu Sasa hivi wanaambiana East Africa nchi ya kukimbilia kupunguza stress za Corona ni Tanzania tu. Leo nimetembelea viwanja kibao Dar kuanzia city center hadi pembezoni kote nakutana na wazungu kibao wanacheza mziki balaa bila barakoa. Nimegundua JPM ni genius. Wazungu kumbe wakipata upenyo wa flight inayokuja bongo wanakimbilia Tanzania. Anayembishia mleta thread aende JNIA.
Hasira za kukosa ubunge unazimalizia kwenye ndegeCountry's gateway airport kuwa na tundege sita tu Ni aibu, halafu eti mnajisifu mmechafua
Ukiwa zuzu huchagui la kuongeaHasira za kukosa ubunge unazimalizia kwenye ndege
Hasa ukiwa mbunge wa Chadema uliyekosa ubunge huchagui la kuongeaUkiwa zuzu huchagui la kuongea
Country's gateway airport kuwa na tundege sita tu Ni aibu, halafu eti mnajisifu mmechafua
Alafu ni kodi za wananchi wanaoumiaYaani mtu analipwa mshahara kwa propaganda ya kitoto namna hii
Upuuzi mtupu huu
Unadhani mimi ni KULA KULALA KWA SHEMEJI KAMA WEWE?Hasa ukiwa mbunge wa Chadema uliyekosa ubunge huchagui la kuongea
Yaani kama mmefikia hatua ya kuvizia vindege vinavyotua ndiyo mnakimbilia kwenye media ,ni aibu na anguko kubwa sanaHaziji ina maanisha hazipo tundege sita ina maana zipo ni aibu kwa wafuasi wasio na msimamo ndio maana wengine tulifika buguruni shell msio na msimamo hamkuja!
Bila kuiondoa ccm nchi hii haitaendelea kabisaA
Alafu ni kodi za wananchi wanaoumia
Kama umegundua jpm ni genius, basi wewe utakua ni kiazi.Hapo tegemea matusi toka kwa wafuasi wa NI YEYE.. Wenyewe wanatamani kusikia ndege haziji na tumetengwa na nchi za ulaya. Kumbe wazungu Sasa hivi wanaambiana East Africa nchi ya kukimbilia kupunguza stress za Corona ni Tanzania tu. Leo nimetembelea viwanja kibao Dar kuanzia city center hadi pembezoni kote nakutana na wazungu kibao wanacheza mziki balaa bila barakoa. Nimegundua JPM ni genius. Wazungu kumbe wakipata upenyo wa flight inayokuja bongo wanakimbilia Tanzania. Anayembishia mleta thread aende JNIA.
Wapinga maendeleo group co ltd mlitangaza haziji sasa mmebadili midundo je haziji au zinakuja!Yaani kama mmefikia hatua ya kuvizia vindege vinavyotua ndiyo mnakimbilia kwenye media ,ni aibu na anguko kubwa sana
Hizo Ndege zinawasaidiaje wazazi wako au wanakijiji Wenzio?View attachment 1696379
Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Magufuli ameweka picha akiwazodoa wanaosema ndege haziji Tanzania.
Nami nakubaliana naye kuwa Uwanja wetu wa kisasa JNIA unapokea ndege nyingi kupita kiasi ( kuchafuka).
Tanzania inatajwa kuwa ni moja ya nchi chache Afrika zinazopendwa sana kutembelewa na watu wengi . Hali inasababishwa na mazingira bora, usalama mkubwa, miundombinu ya kisasa, siasa safi na demokrasia na uchumi bora.
Maoni yaliyokusanywa na mwanaharakati Chakabars huko Twitter, katika nchi 54 Tanzania ilishika namba 1 kama nchi ambayo African Americans wangependa kuishi endapo itawabidi kuishi Afrika.
Kama hata treni ya mwendo kasi mliweka ya Ujerumani itakuwa ndege?View attachment 1696379
Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Magufuli ameweka picha akiwazodoa wanaosema ndege haziji Tanzania.
Nami nakubaliana naye kuwa Uwanja wetu wa kisasa JNIA unapokea ndege nyingi kupita kiasi ( kuchafuka).
Tanzania inatajwa kuwa ni moja ya nchi chache Afrika zinazopendwa sana kutembelewa na watu wengi . Hali inasababishwa na mazingira bora, usalama mkubwa, miundombinu ya kisasa, siasa safi na demokrasia na uchumi bora.
Maoni yaliyokusanywa na mwanaharakati Chakabars huko Twitter, katika nchi 54 Tanzania ilishika namba 1 kama nchi ambayo African Americans wangependa kuishi endapo itawabidi kuishi Afrika.
Tusubiri BBC wakati tuna ndugu na majirani wamelazwa na wanapumulia mashine? Wewe mlamba viatu endelea kuabudu mtu tuache sisi tunaouguza.Subirini BBC /DW wache , utasikia hospitali zimejaa wagonjwa wa corona, akili za kitumwa ni mbaya.