Msigwa “awazodoa” wanaodai ndege haziji Tanzania

Tusubiri BBC wakati tuna ndugu na majirani wamelazwa na wanapumulia mashine? Wewe mlamba viatu endelea kuabudu mtu tuache sisi tunaouguza.
Hiyo corona iko kwenye familia yako tu? acha kulazimisha vitu ambavyo havipo, wewe unadhani kuwa na corona ni sifa?
 
Msemaji wa ikulu ni cheo kikubwa sana, nchi nyingine huwa wanakuwa na level sawa na waziri. Haifai ku-post vitu kama mwimbaji wa mipasho
Unadhani Haji Manara anaweza kuropoka bila kuwa na baraka za wanao mlipa mshahara ?
 
wafuasi wa kigogo na chama cha mbowe mmjibu msigwa HAYO NI MATANGO???
 
Emirates wanakuja mara 3 tu kwa wiki badala ya daily, Kenya zamani mara 6 kwa siku siku hizi mara 3 kwa wiki ndege pekee imebaki daily ni Ethiopia ila hili jambo dunia nzima usafiri umeathirika sana sio Tanzania tu maana wateja sio wengi mwaka sasa wasafiri wachache sana.
 
Kuzodoana ni mambo ya kike, tunawaachia kumuendelee kuzodoana
 
Ndege zinazotua Ili kutoa Katika nchi zilizowekewa red list. na UK
 
Country's gateway airport kuwa na tundege sita tu Ni aibu, halafu eti mnajisifu mmechafua
In
View attachment 1696379
Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Magufuli ameweka picha akiwazodoa wanaosema ndege haziji Tanzania.

Nami nakubaliana naye kuwa Uwanja wetu wa kisasa JNIA unapokea ndege nyingi kupita kiasi ( kuchafuka).

Tanzania inatajwa kuwa ni moja ya nchi chache Afrika zinazopendwa sana kutembelewa na watu wengi . Hali inasababishwa na mazingira bora, usalama mkubwa, miundombinu ya kisasa, siasa safi na demokrasia na uchumi bora.

Maoni yaliyokusanywa na mwanaharakati Chakabars huko Twitter, katika nchi 54 Tanzania ilishika namba 1 kama nchi ambayo African Americans wangependa kuishi endapo itawabidi kuishi Af

View attachment 1696379
Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Magufuli ameweka picha akiwazodoa wanaosema ndege haziji Tanzania.

Nami nakubaliana naye kuwa Uwanja wetu wa kisasa JNIA unapokea ndege nyingi kupita kiasi ( kuchafuka).

Tanzania inatajwa kuwa ni moja ya nchi chache Afrika zinazopendwa sana kutembelewa na watu wengi . Hali inasababishwa na mazingira bora, usalama mkubwa, miundombinu ya kisasa, siasa safi na demokrasia na uchumi bora.

Maoni yaliyokusanywa na mwanaharakati Chakabars huko Twitter, katika nchi 54 Tanzania ilishika namba 1 kama nchi ambayo African Americans wangependa kuishi endapo itawabidi kuishi Afrika.
Huyu si wa kumuamini inawezekana hii picha ni ya kutoka maktaba zetu
 
Hiyo corona iko kwenye familia yako tu? acha kulazimisha vitu ambavyo havipo, wewe unadhani kuwa na corona ni sifa?
Sisi Corona ipo jamani last week tumezika watu si chini ya watano,leo jtatu nimeshapata report ya ndugu wawili.Nimonia kali ipo na tuchukue taadhari
 
View attachment 1696379
Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Magufuli ameweka picha akiwazodoa wanaosema ndege haziji Tanzania.

Nami nakubaliana naye kuwa Uwanja wetu wa kisasa JNIA unapokea ndege nyingi kupita kiasi ( kuchafuka).

Tanzania inatajwa kuwa ni moja ya nchi chache Afrika zinazopendwa sana kutembelewa na watu wengi . Hali inasababishwa na mazingira bora, usalama mkubwa, miundombinu ya kisasa, siasa safi na demokrasia na uchumi bora.

Maoni yaliyokusanywa na mwanaharakati Chakabars huko Twitter, katika nchi 54 Tanzania ilishika namba 1 kama nchi ambayo African Americans wangependa kuishi endapo itawabidi kuishi Afrika.
Msingwa naye kishavaa dera tayari kwa kuvurumisha vijembe na kuzodoana? Kazi ipo!
 
Hivi kuzodoa ni moja ya kazi za huyu bwana..., au hapo anafanya overtime ?
 
Back
Top Bottom