Msigwa “awazodoa” wanaodai ndege haziji Tanzania

Ndege za kuja bongo zimekua kama mabasi ya mbagala full kugombania
 
Haziji ina maanisha hazipo tundege sita ina maana zipo ni aibu kwa wafuasi wasio na msimamo ndio maana wengine tulifika buguruni shell msio na msimamo hamkuja!
Country's gateway airport kuwa na tundege sita tu Ni aibu, halafu eti mnajisifu mmechafua
 
Haziji ina maanisha hazipo tundege sita ina maana zipo ni aibu kwa wafuasi wasio na msimamo ndio maana wengine tulifika buguruni shell msio na msimamo hamkuja!
Yaani kama mmefikia hatua ya kuvizia vindege vinavyotua ndiyo mnakimbilia kwenye media ,ni aibu na anguko kubwa sana
 
Sio Mitano tena ni milele kabisa
Uchumi wa kati
Nchi hii ni tajiri sana
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu
Unaijua vieite wewe!!!
Sisi tunatembelea mavieitee!!!!
Atake asitake lazima atawale milele
 

Attachments

  • IMG_20210127_125033.jpg
    86 KB · Views: 9
Kama umegundua jpm ni genius, basi wewe utakua ni kiazi.
 
Yaani kama mmefikia hatua ya kuvizia vindege vinavyotua ndiyo mnakimbilia kwenye media ,ni aibu na anguko kubwa sana
Wapinga maendeleo group co ltd mlitangaza haziji sasa mmebadili midundo je haziji au zinakuja!
 
Msemaji wa ikulu ni cheo kikubwa sana, nchi nyingine huwa wanakuwa na level sawa na waziri. Haifai ku-post vitu kama mwimbaji wa mipasho
 
Hizo Ndege zinawasaidiaje wazazi wako au wanakijiji Wenzio?
 
Kama hata treni ya mwendo kasi mliweka ya Ujerumani itakuwa ndege?
 
Subirini BBC /DW wache , utasikia hospitali zimejaa wagonjwa wa corona, akili za kitumwa ni mbaya.
Tusubiri BBC wakati tuna ndugu na majirani wamelazwa na wanapumulia mashine? Wewe mlamba viatu endelea kuabudu mtu tuache sisi tunaouguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…