Msigwa: Bandari Ilikuwa inaingiza tsh 1 trillion na inamtumia tsh 880 bilioni ndio sababu tumeleta DP World Ili kuongeza Mapato!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12

Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu

Msigwa amesisitiza Bandari lazima ikodishwe Ili kuongeza Ufanisi kwani mwekezaji atatuwezesha kupata tsh 27 trillion pa

Source: Habari Digital
 
BANDARI NI LAZIMA IKODISHWE""

Hii kaul ya inaonyesha tunapelekeshwa kam Watoto na wao ndio wanajua kulko sisi

Ifke hatua serikali isiegee upande wa muwekezaji kama wao watuelimishe mkataba unataka unavyoeleza basi .

Kama japo linafaid kwetu hakuna wakupng lakn mkituletea Tuu faida bila kujua mkataba sio sawa
 
Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12

Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu

Msigwa amesisitiza Bandari lazima ikodishwe Ili kuongeza Ufanisi kwani mwekezaji atatuwezesha kupata tsh 27 trillion pa

Source: Habari Digital
Hayo mapato manayapeleka wapi

Wakati kutwa kutuongezea mkodi isiyo na miguu wala kichwaa.
Bora tubaki na bandari yetu ambayo niyakwetu kihalali, watanzania wenzetu wakila aina wanapata ajira kuliko Miarabu ambayo yakija Wakristo hatupati ajira.
Waarabu hapana
 
Msigwa ni mngoni Wa
kwanza kuwa asiyejielewa mbona wakati Wa JPM hakuwa zuzu hivi
labda nimsaidie mngoni mwenzangu huo mkataba hauna tofauti na Wa bodaboda
 
Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12

Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu

Msigwa amesisitiza Bandari lazima ikodishwe Ili kuongeza Ufanisi kwani mwekezaji atatuwezesha kupata tsh 27 trillion pa

Source: Habari Digital
Huyu kuna siku itamtoke puani, aangalie Putin
 
Hawa wazembe wanachukua karibia wiki nzima kutafuta chakuongea, ajabu kila wakiongea wanaongea upuuzi.

Hakuna anayetaka kujua habari ya mapato, huo mkataba na mwarabu mwisho wake lini? itakodishwa kwa muda gani? Majibu mje nayo next time, sio kila wakati kurudia kuongea ujinga tu.

Haiwezekani muwekezaji aje kututafutia faida sisi kama vile yeye amekuja kutafuta hasara hapa, mnadhani hizo pesa alizowahonga atazirudisha vipi?

Hamna akili kabisa.
 
Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12

Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu

Msigwa amesisitiza Bandari lazima ikodishwe Ili kuongeza Ufanisi kwani mwekezaji atatuwezesha kupata tsh 27 trillion pa

Source: Habari Digital
Hamna anayekataa kuwa bandari ilikuwa ina underperform. Wanazunguka mbuyu. Hapa tunazungumzia aina ya makubaliano. Kwani wakati madini yako ardhini yalikuwa yanaingiza chochote? So, leo mtu atoke ajisifu aseme madini kabla ya kuja wawekezaji yalikuwa yamelala tu ila sasa tunakusanya kodi na mgao wa 3% halafu ashangiliwe.
Issue ni aina ya makubaliano. Haijalishi ianze kusanya billion 20 kwa mwaka, lakini mkataba huo in the long run ukataka aondoke umepata atakayekupa zaidi unachomoka vipi.
 
Njia nzuri kwa kuongeza mapato ni kusimamia na kupunguza matumizi!

Kubana matumizi umekuwa ni ugonjwa wa serikali zetu! Ndio maana hakuna maendeleo!! Kuna uongo kwenye mapato ya 1t na kuna uongo katika matumizi ya 880!!
 
Back
Top Bottom