MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
nilitaka.kushangaaMsigwa sio mngoni, ni mbena wa Njombe, km sio mkinga wa makambako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilitaka.kushangaaMsigwa sio mngoni, ni mbena wa Njombe, km sio mkinga wa makambako.
Makambako siyo kwa Wakinga 😀Msigwa sio mngoni, ni mbena wa Njombe, km sio mkinga wa makambako.
Yeah, hana muda wa kusikiliza upotoshaji na matusi na uzushi.Samia kawaambia nyie endeleeni kuongea, yeye kaziba masikio hawaskizi.
Bandari itakodishwa tu mtake msitakeBANDARI NI LAZIMA IKODISHWE""
Hii kaul ya inaonyesha tunapelekeshwa kam Watoto na wao ndio wanajua kulko sisi
Ifke hatua serikali isiegee upande wa muwekezaji kama wao watuelimishe mkataba unataka unavyoeleza basi .
Kama japo linafaid kwetu hakuna wakupng lakn mkituletea Tuu faida bila kujua mkataba sio sawa
Hapana!Hayo mapato manayapeleka wapi
Wakati kutwa kutuongezea mkodi isiyo na miguu wala kichwaa.
Bora tubaki na bandari yetu ambayo niyakwetu kihalali, watanzania wenzetu wakila aina wanapata ajira kuliko Miarabu ambayo yakija Wakristo hatupati ajira.
Waarabu hapana
Ndo ishakuwa hivyo na hamna cha kuwafanya wenye bandari yaoTatizo sio mapato, tatizo sio waarab, tatizo sio wawekezaji, tatizo ni mkataba una masharti ya kijinga sana
Wamekodisha bila kikomo, hiyo ni tafsiri sahihi ya kuuzaBANDARI NI LAZIMA IKODISHWE""