Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipengele kipi una shida nacho?Wananchi awana shida na uwekezaji shida ni bahadhi ya vipengele kwenye mkataba sio rafiki kwa ustawi na maendeleo ya nchi.....
Akili ya makuwadi na madalali ya dpworld.Bandari itakodishwa tu mtake msitake
Kwani wewe siyo mtoto?Wakibwa tunajua kwamba kwa miaka zaidi ya 40 Bandari haijatufanyia chochote cha kujivunia.BANDARI NI LAZIMA IKODISHWE""
Hii kaul ya inaonyesha tunapelekeshwa kam Watoto na wao ndio wanajua kulko sisi
Ifke hatua serikali isiegee upande wa muwekezaji kama wao watuelimishe mkataba unataka unavyoeleza basi .
Kama japo linafaid kwetu hakuna wakupng lakn mkituletea Tuu faida bila kujua mkataba sio sawa