johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hayo mapato manayapeleka wapiMsemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12
Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu
Msigwa amesisitiza Bandari lazima ikodishwe Ili kuongeza Ufanisi kwani mwekezaji atatuwezesha kupata tsh 27 trillion pa
Source: Habari Digital
Awana ndiyo nini mkuu???Wananchi awana shida na uwekezaji shida ni bahadhi ya vipengele kwenye mkataba sio rafiki kwa ustawi na maendeleo ya nchi.....
Huyu kuna siku itamtoke puani, aangalie PutinMsemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12
Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu
Msigwa amesisitiza Bandari lazima ikodishwe Ili kuongeza Ufanisi kwani mwekezaji atatuwezesha kupata tsh 27 trillion pa
Source: Habari Digital
Msigwa sio mngoni, ni mbena wa Njombe, km sio mkinga wa makambako.Msigwa ni mngoni Wa
kwanza kuwa asiyejielewa mbona wakati Wa JPM hakuwa zuzu hivi
labda nimsaidie mngoni mwenzangu huo mkataba hauna tofauti na Wa bodaboda
Hamna anayekataa kuwa bandari ilikuwa ina underperform. Wanazunguka mbuyu. Hapa tunazungumzia aina ya makubaliano. Kwani wakati madini yako ardhini yalikuwa yanaingiza chochote? So, leo mtu atoke ajisifu aseme madini kabla ya kuja wawekezaji yalikuwa yamelala tu ila sasa tunakusanya kodi na mgao wa 3% halafu ashangiliwe.Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12