Yego mlaunu
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 234
- 269
Nami nimefuatilia comment zako humu,nimeona watu wengi kila wakitaka kukujibu,maneno kama "wewe mjinga" hayakosekani.Hiyo ni issue tofauti ya kuua tembo ili upate pembe za kuuza. Uzuri haya mambo yote yanaratibiwa na WWF na CITES ambavyo ni vyombo vya dunia vinavyo hifadhi endangered species.
Sisi wenyewe pale Banda Ngozi kwenye maghala ya Mali Asili tuna pembe za ndovu tulizozikamata kwa majangiri zaidi ya Tani 20 lakini tumekatazwa kuuza instead tunaambiwa tuzichome ili ku discourage biashara ya pembe za ndovu.
Fine mimi mjinga, je wewe umeona hoja zao walizoleta dhidi ya hoja yangu? Wote ninaobishana nao hakuna aliyeleta picha ya wanyama wakipakiwa kwenye ndege.Nami nimefuatilia comment zako humu,nimeona watu wengi kila wakitaka kukujibu,maneno kama "wewe mjinga" hayakosekani.
Ila kwa uandishi wako wa aina hii,na hoja za hivi, unakataaje kuwa wewe siye
Evidence ni ndege kubwa ile iliyotua hapo KIA.Cha ajabu badala ya kutoa evidence wataanza kumshambulia Msigwa
Evidence ni ndege kubwa ile iliyotua hapo KIA.
Au wee unataka ipi? Kwa kuwa n mnufaika huwezi ona
Usijali maneno ya watu wakikuita mjinga wakati wewe unaamini kabisa sivyo..Fine mimi mjinga, je wewe umeona hoja zao walizoleta dhidi ya hoja yangu? Wote ninaobishana nao hakuna aliyeleta picha ya wanyama wakipakiwa kwenye ndege.
Siogopi kuitwa mjinga na watu niliowazidi IQ, tatizo siyo la kwao bali ni maumbile ya vichwa vyao hasa kwenye cerebrum inapokaa grey matter pako shallow.
If you know, you know
Tatizo ni uwazi na utaratibu. Kwanza kuna jinsi ya kuwakamata. Kuna kipindi waliruhusu usafirishaji wa wanyama hai wanyama wakawa wanakamatwa kwa utaratibu usiofaa ukiacha wengi kufa wakati wa kushikwa na pia kunakua na vurugu na uhalifu mwingi kwenye mbuga kwa kisingizio cha kutega wanyama.Mwisho wa siku hawa wanyama watazeeka na watakufa. Kwani kuna ubaya gani kuwauza kama hao waarabu wanataka?
Maana sasa tumechoka ndege KIA mara ndege Loliondo, mara wanyama wanaibiwa!! Kama wanaibiwa ina maana kuna soko. Tuwapangie Bei waingize mpunga na kodi tukusanye.
Kwanza Watanzania hata mbugani hatuendi kuona wanyama kama sehemu ya utalii lakini tumekomaza mishipa tunalaani ndege ambazo Wala hatuna uhakika zimebeba nini