Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Katika Clubhouse inayoendelea kuhusu mjadala wa Bandari unaoongoza na Habari Maelezo, huku moderator akiwa ni Peter Msigwa, hali imekuwa tete baada ya Peter Madeleka kutaka kuuliza swali ambapo Msigwa ameshutumu Madeleka kutumia utambulisho usio wake, hata hivyo Madeleka alisema ametumia jina lake na picha iliyowekwa ni yake
Msigwa amesema orodha ya wauliza maswali anayo, je ni kweli huu mjadala una watu sahihi maana hadi sasa siwaelewi wauliza maswali, na amenistua aliposema orodha anayo
Msigwa amesema orodha ya wauliza maswali anayo, je ni kweli huu mjadala una watu sahihi maana hadi sasa siwaelewi wauliza maswali, na amenistua aliposema orodha anayo