Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
weka link hapa tusikilize
Nahisi mjadala umepangwaNipo nawasikia huyu mwanasheria aliyemleta msigwa ni mweupe sana hajui kitu
Kwanini aogope maswali sisi ambao tunajua 'social inference' inamaanisha huo mkataba ni magumashiKatika Clubhouse inayoendelea kuhusu mjadala wa Bandari unaoongoza na Habari Maelezo, huku moderator akiwa ni Peter Msigwa, hali imekuwa tete baada ya Peter Madeleka kutaka kuuliza swali ambapo Msigwa ameshutumu Madeleka kutumia utambulisho usio wake, hata hivyo Madeleka alisema ametumia jina lake na picha iliyowekwa ni yake
Msigwa amesema orodha ya wauliza maswali anayo, je ni kweli huu mjadala una watu sahihi maana hadi sasa siwaelewi wauliza maswali, na amenistua aliposema orodha anayo
Naona imenigomea huku. Mtusaidie kurekodi tusikilize hata YouTube kesho
Msigwa mshamba sana,wewe mtu ametoka TBC na kufika mpaka hapo alipo,hana exposure kama akina Zuhra Yunus!Katika Clubhouse inayoendelea kuhusu mjadala wa Bandari unaoongoza na Habari Maelezo, huku moderator akiwa ni Peter Msigwa, hali imekuwa tete baada ya Peter Madeleka kutaka kuuliza swali ambapo Msigwa ameshutumu Madeleka kutumia utambulisho usio wake, hata hivyo Madeleka alisema ametumia jina lake na picha iliyowekwa ni yake
Msigwa amesema orodha ya wauliza maswali anayo, je ni kweli huu mjadala una watu sahihi maana hadi sasa siwaelewi wauliza maswali, na amenistua aliposema orodha anayo