Pre GE2025 Msigwa: Mbowe aliacha tuliyomtuma Ikulu akaenda kushughulikia Billicanas. CHADEMA hakuna Sera ni kudandia mambo ya CCM tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa huyu tumbili naye mbona anafanya yale yale anayoponda, yuko CCM lakini 100 % ya hotuba yake anaizungumzia Chadema na Mbowe. Hivi angeshinda uchaguzi ule angekwenda CCM? Na jee bila Chadema nani angemjua Msigwa leo hii?
 
Mkutano wa CCM inatajwa CHADEMA mwanzo mwisho....? Hivi huwa wanaanza je....nipale gari lenye bendera ya CHADEMA inapotokea likapita jirani na mkutano wa CCM ulipo au???
 
Amekwisha huyo,ili a survive huko
Inabidi awe anaitajataja chadema na mbowe,mbowe mwenyewe kimyaaaa 😄 tu
Huyu pumzi itakata tu

Ova
 
Msigwa anachokifanya ni sawa na wale vijana wa under 30 wanaohama vyama, alishasema weekness za chadema lakini kuendelea kumshambulia mbowe sidhani kama siasa hizo zitamsaidia kujiimarisha kisiasa, hapo hata ccm wameshapona hulka yake siku akitoka CCM akaingia ACT au chama chochote atawananga tena viongozi wa ccm waliompokea. Kwa hadhi yake na nafasi yake ya uchungaji hatakuwa kusema hayo
 
Ndio maana tunaendelea kuwasanua watu waachane na itikadi za kisiasa. Leo msigwa anaiponda chadema iliyomtambulisha kwenye siasa?

Just support the President hii ndio iwe itikadi yako ya mara zote achana na siasa.

Kuwa mfuasi wa Rais bila kujali katoka chama gani masuala ya itikadi za kisiasa ni senseless.
 
Comrade Msigwa , wapasue hao . Kumbe mzee mbowe alienda kusema WATU WAMEMISS DISCO VUMBI LA MJINI POSTA . siri zinavuja hahahhaa
CCM RAHA SANA . mbona mengi watayatoa tu. CCM KAMA MAJI lazima wanywe .


iamwangdamin said:
CCM NI CHAMA BORA KWA HAPA TANZANIA , HAKUNA CHAMA KITAKUJA KUFUTA HISTORIA BORA YA HIKI CHAMA. mimi ni shahidi wa kusema kuwa CCM itabaki sana milele, CHADEMA ni chama cha TWITTER , nawaonea huruma sana .


MAMA SAMIA MITANO TENA .

Adam Ekingo iamwangdamin
Mjumbe CCM , KIVUKONI ILALA
 
Huyu mzee angekuwa na akili timamu angekaa kimya tu
 
Nikisema CCM na Chadema lao moja Watu wanatoa povu. Wote lengo ni kuendelea kuitawala Tanzania. BAADA ya muda Chadema itadhoofishwa na kuibua chama kingine Kama cuf ilivyokufa kibudu Zanzibar
Sidhani kama Chadema kitakuja kudhoofu kiasi cha kupotea kabisa.Naona Tanzania vyama vya siasa vya kudumu vitakavyokuwa vinabadilishana madaraka ni CCM na Chadema.Kama ilivyo Marekani Democrat na Republican au Uingereza ilivyo Labour na Conservative.
 
Lowassa alibargain na Magufuli tangu alipoenda Ikulu.
 
Nikisema CCM na Chadema lao moja Watu wanatoa povu. Wote lengo ni kuendelea kuitawala Tanzania. BAADA ya muda Chadema itadhoofishwa na kuibua chama kingine Kama cuf ilivyokufa kibudu Zanzibar
CHADEMA ndio chama pekee kilichovunja mwiko. NCCR na CUF zilikufa, ila CHADEMA huwezi kuiua ndio maana akina msigwa wanakimbilia CCM. CHADEMA ilishajijenga na kuwa brand huwezi kuifuta hivi hivi.
 
Laana ya kusherehekea kifo cha Magu inaendelea kuwatafuna..ogopa sana mtu anayeliliwa na wengi..bora wangekaaga kimya.
CCM ndio walisherekea. Au umesahau Wazuri hawafi?. Mnajaribu kuingia CHADEMA kwenye ujinga wenu, wakati ni CHADEMA walipiga kelele kuhusu kutokuonekana kwa Magufuli ila kwa ujinga wenu mkawakebehi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…