Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyu tumbili naye mbona anafanya yale yale anayoponda, yuko CCM lakini 100 % ya hotuba yake anaizungumzia Chadema na Mbowe. Hivi angeshinda uchaguzi ule angekwenda CCM? Na jee bila Chadema nani angemjua Msigwa leo hii?Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Kwa umri wake angekaa kimyaKwahiyo anataka apewe lile jengo la Rita au??
Na Tanzania mchawi ni CCM, chama tangu uhuru.Chadema mchawi ni mbowe tu mwenyekiti wa maisha
Alikutapeli shilingi ngapi?Ila mzee mbowe ni tapeli sana
Sidhani kama Chadema kitakuja kudhoofu kiasi cha kupotea kabisa.Naona Tanzania vyama vya siasa vya kudumu vitakavyokuwa vinabadilishana madaraka ni CCM na Chadema.Kama ilivyo Marekani Democrat na Republican au Uingereza ilivyo Labour na Conservative.Nikisema CCM na Chadema lao moja Watu wanatoa povu. Wote lengo ni kuendelea kuitawala Tanzania. BAADA ya muda Chadema itadhoofishwa na kuibua chama kingine Kama cuf ilivyokufa kibudu Zanzibar
Lowassa alibargain na Magufuli tangu alipoenda Ikulu.Kwenye kudandandia mambo hapo nakuunga mkono asilimia zaidi ya 90. Ila uilipaswa kuongea hayo mambo ukiwa huko huko chadema ingesaidia kuwabadilisha leo watasema unaongea hivyo sababu unahama, nakumbuka Mzee Lowasa akiwa chadema aliwahi washauri waache siasa za kiunaharakati lakini mpaka leo hawajaacha na ndio maana mzee alirudi ccm.
CHADEMA ndio chama pekee kilichovunja mwiko. NCCR na CUF zilikufa, ila CHADEMA huwezi kuiua ndio maana akina msigwa wanakimbilia CCM. CHADEMA ilishajijenga na kuwa brand huwezi kuifuta hivi hivi.Nikisema CCM na Chadema lao moja Watu wanatoa povu. Wote lengo ni kuendelea kuitawala Tanzania. BAADA ya muda Chadema itadhoofishwa na kuibua chama kingine Kama cuf ilivyokufa kibudu Zanzibar
CCM ndio walisherekea. Au umesahau Wazuri hawafi?. Mnajaribu kuingia CHADEMA kwenye ujinga wenu, wakati ni CHADEMA walipiga kelele kuhusu kutokuonekana kwa Magufuli ila kwa ujinga wenu mkawakebehi.Laana ya kusherehekea kifo cha Magu inaendelea kuwatafuna..ogopa sana mtu anayeliliwa na wengi..bora wangekaaga kimya.