Msigwa: Mbowe ananiogopa, hapokei simu zangu

Akili zako na za msigwa zinafanana
 
Muda si mrefu anapotea
Mbona tayari, ile gia aliyoingia nayo kuwa atazunguka nchi nzima kumchafua Mbowe imeshafeli kwani mikutano yote aliyoifanya anarudia yale yale sasa analeta hili jipya kuwa Mbowe hapokei simu yake ina maana anataka Mbowe ampe madini ya ziada maana yale aliyoondoka nayo yameisha na hana jipya la kuwaaminisha mabwana zake wapya kuwa wamesajili jembe la kuisadia CCM.
 
Nkurunzinza Mbowe mtanie mambo yote ila usimwambie unataka kuwa mwenyekiti wa chama atakutumia watu wakulegezee nuts za tairi ya mbele ya gari ukafe na ajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…