Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana laana. Alipewa nguo na Kasisi mmoja wa kizungu akawape watu wasio na uwezo bure yeye akazifungulia genge la kuuza mitumba, laana hiyo ndiyo imeanza kumtafunaMsigwa anashida mahali
Kwahiyo tujadili kudhani dhani!Nadhani Mbowe ndo kikwazo kikubwa cha maendeleo ya Msigwa
Kinachomuumiza huyo pimbi ni kuona amepuuzwa na viongozi wa Chadema,alitamani wamjibu ili aendeleze malumbano,ameropoka ameishiwa maneno ya kuendeleza matusi yake kwa Mbowe. Hakika kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mtu mpumbavu kama Peter Msigwa.Kuna kuogopwa na kuna kupuuzwa.Ili la pili ni jibu sahihi.
Unaweza kujadili hata kwa hiyo au kujadili! Ni wewe tu!Kwahiyo tujadili kudhani dhani!
Na mimi nadhani.Unaweza kujadili hata kwa hiyo au kujadili! Ni wewe tu!
Mimi huu ndiyo ugonjwa wangu. Kupokea au kuongea na simu bora nikutumie tu ujumbe unaoeleweka sio kuchati pia.Si kila mtu anapenda kupokea simu.
Amuandikie sms.
Tunajua anachotaka, anataka kuomba radhi, tunazo clips zakeMwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
AMENHuyu Msigwa inaonekana mfumo wa CHADEMA ndio ulimsaidia kuonekana kuwa ana akili. Lakini kwa haya anayoyafanya, hakika huyu mtu kichwani kuna hitilafu. Hata CCM wasifurahie kumpa mtu kama huyu, hapa bila shaka CCM wameisaidia CHADEMA kuondokana na mtu ambaye ni hasara.