Msigwa: Mbowe ananiogopa, hapokei simu zangu

Msigwa: Mbowe ananiogopa, hapokei simu zangu

Kuna kuogopwa na kuna kupuuzwa.Ili la pili ni jibu sahihi.
Kinachomuumiza huyo pimbi ni kuona amepuuzwa na viongozi wa Chadema,alitamani wamjibu ili aendeleze malumbano,ameropoka ameishiwa maneno ya kuendeleza matusi yake kwa Mbowe. Hakika kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mtu mpumbavu kama Peter Msigwa.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuogopwa na kupuuzwa.

Yaani Mbowe amuogope chawa Kweli!!
 
HIki kijamaa kila kikisimama jukwaani ni Mbowe Mbowe - kina matatizo gani? kingekuwa kidemu ndo kinabebwa bure bure...njaaa ya utosini.
 
Sasa katika hali hiyo uliyonayo Mr Peter Msigwa, huko uliko CCM na unachokifanya sasa kwa kutembezwa huku na kule na hao CCM huku ukielekezwa kumrushia kila aina ya shutuma na kashfa mtu aliyekulea kisiasa hata ukawa hivyo ulivyo;

1. Kwanza ulifikiri nini kiasi cha kuamua kumpigia simu?

2. Umwambie nini kwa mfano?

3. Au ulitaka kumkumbusha kujibu shutuma na kashfa zako dhidi yake? Ulitaka kupitia simu umuulize "... ina maana wewe Freeman Mbowe huzipati wala husikii shutuma ninazokurushia? Kwanini hujibu ili mimi niendelee..?"

NAKUSHAURI: Kama umemkumbuka au umetambua makosa na unataka kuronga naye kumwomba radhi, basi unajua anakopatikana. Go there in personal, kutana naye. Acha utoto wa kulalamika majukwaani..!!
 
Sasa kumbe akili zako ndizo kama hizi ,mnaongea ya chumbani alafu unakuja kuyamwaga hadharani sasa unatarajia nini ? , that's why Wana ignore calls zako wanakujua wewe ni mgulugulu.
 
Huyu Msigwa inaonekana mfumo wa CHADEMA ndio ulimsaidia kuonekana kuwa ana akili. Lakini kwa haya anayoyafanya, hakika huyu mtu kichwani kuna hitilafu. Hata CCM wasifurahie kumpa mtu kama huyu, hapa bila shaka CCM wameisaidia CHADEMA kuondokana na mtu ambaye ni hasara.
 
Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''

----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
Tunajua anachotaka, anataka kuomba radhi, tunazo clips zake
 
Huyu Msigwa inaonekana mfumo wa CHADEMA ndio ulimsaidia kuonekana kuwa ana akili. Lakini kwa haya anayoyafanya, hakika huyu mtu kichwani kuna hitilafu. Hata CCM wasifurahie kumpa mtu kama huyu, hapa bila shaka CCM wameisaidia CHADEMA kuondokana na mtu ambaye ni hasara.
AMEN
 
Back
Top Bottom