PreGE2025 Msigwa: Mihemko imekuwa mingi, uhamasishaji wa kijinga Mitandaoni umekuwa mwingi, Vijana mjitazame

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."

"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"

"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"

Amepaniki sana jamaa
 
Zer

Akili ni mali
 
Sisi shida yetu ni utekaji na kuminya haki. Tusizungumze? Yeye anaona ni sawa kwa yanayoendelea?
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."

"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"

"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"

Povu jingiii...Unachafua hewa...Unatujazia microbions.....
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."

"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"

"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"

inategemea basi nayeye ni mjinga kama anaingia kwenye uhamasishaji mitandaoni
 
Msigwa Mbona unatisha watu?
Inashangaza sana hata kama ni kulinda nafasi sio kwa vitisho ivo
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."

"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"

"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"

siyo lazma uwepo kwa hiyo position mwengine anaweza kuwa hapo
 
Back
Top Bottom