PreGE2025 Msigwa: Mihemko imekuwa mingi, uhamasishaji wa kijinga Mitandaoni umekuwa mwingi, Vijana mjitazame

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."

"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"

"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"

Ameshiba kodi zetu alafu anatudharau? Hajui sie tunapigania kesho bora ya Tanzania nzima??
 
Anasema matusi hayaruhusiwi?

Je wale walioita watu bungeni "Kenge" wamechukuliwa hatua gani?

Naona anazungumzia wanafunzi wa vyuoni sana huku anaona aibu kusema alivyozomewa na wanafunzi wa UDOM walipokuwa wanasema NO REFORMS NO ELECTION, huku yeye anawaambia habari za mapenzi sasa imekuwa ni vitisho ila wanafunzi wakileta kampeni ya Mama anaupiga mwingi watawakamata?

Eti huyu ndio msemaji wa serikali katika nchi ambayo watu zaidi ya milion 10 wanaishi chini ya $1 anaitisha press kutisha watu kisa kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION, anasema kampeni ni ya kijinga huku muda huo huo tena wanataka kuizuia sasa kama ni ya kijinga wanahangaika nayo ya nini?

Wao si waje na No reforms , Yes Election halafu waone watanzania wa sasa sio wa 1970.

Idiot.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."

"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"

"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"

Screenshot_20250609-200239.jpg
 
Huyu naye amekuwa kama anawashwa. Anahitaji kukunwa bila shaka.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."

"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"

"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"

Kazi ya kulinda ugali haijawahi kuwa rahisi kwenye ulimwengu wa tatu.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."

"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"

"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"

Na nyie mjitahidi msiwe mnatoa taarifa zenu mitandaoni. Mtuache na hizi taarifa zenu muwe mnawaambia waandishi wa habari wasitume mitandaoni. Huku tubaki na UBER
 
Badala ya kuona hizo si delicious nzuri kwa kuwa wameshindwa kuwasikiliza vijana matakwa yako na changamoto zao ambazo serikali haina majibu.So mitandao ni sehemu ya kujifariji .
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."

"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"

"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"

Hivi watu kuandika No Reforms No Elections wanatenda kosa lipi? Na upuuzi wao ni upi?
Wao mbona wana-posti wanatiki? Au kufanya hivyo kuna waongezea akili na utu?
Serikali iondoe hofu... waache woga!
Wajibu hoja kwa hoja! Wasiwe wepesi kurusha mawe ilhali ofisi zao ni za vyoo!
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."

"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"

"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"

Mpumbavu huyu
 
Nchi inahitaji reforms sio za uchaguzi tu, bali kila mahali
 
Attachments

  • 20250611_220255.jpg
    20250611_220255.jpg
    146.2 KB · Views: 20
Back
Top Bottom