Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Akiongea kwa jazba na vitisho, msemaji wa Serikali amewatisha wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa serikali inauwezo wa kuwapata!
Kwa kweli nitashangaa jama wasomi wa vyuo vikuu watakaa kimya juu ya vitisho hivi vyenye lengo la kuwafanya wawe kama watoto wa sekondari. Ingekuwa enzi zetu asingesema ujinga huu. Tulikuwa tunaitisha kikao revolutionary square tunasonga town. Watoto wa 2000 wako busy na tiktok zaidi.
View: https://m.youtube.com/watch?v=kS3vTbvzrWc