Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Umepalalyze ubongo imebakia kidogo uanze kuokota makopo.vijana wengi wamekuwa wajinga wanalishwa maneno ya wahuni wachache nao wanaamini
Amepaniki sana jamaaMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."
"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"
"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"
AnatumikiaMsigwa acha wenge tafadhari mxew
Akili ni maliMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."
"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"
"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"
Ananikera balaa...kafunga comments igAnatumikia
Sisi shida yetu ni utekaji na kuminya haki. Tusizungumze? Yeye anaona ni sawa kwa yanayoendelea?Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."
"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"
"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"
Mpumbavuvijana wengi wamekuwa wajinga wanalishwa maneno ya wahuni wachache nao wanaamini
Povu jingiii...Unachafua hewa...Unatujazia microbions.....Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."
"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"
"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"
inategemea basi nayeye ni mjinga kama anaingia kwenye uhamasishaji mitandaoniMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."
"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"
"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"
siyo lazma uwepo kwa hiyo position mwengine anaweza kuwa hapoMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa