Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Mwendo ni mmoja tuHuyu msigwa amechanganyikiwa. Hizi jazba ampelekee wife huko home kwake,siyo watanzania wanaolilia haki.
No reforms no election.View attachment 3365020
Nini kimetokea hukoWame miscalculate😂😂😂😂, hesabu inagoma tu
Walidhani wakihonga burudani vyuoni watafaidika na kura za vijana, matokeo ni NrNeNini kimetokea huko
Na mwaka huu hawana wakumdanganya.......uhakika wa kulinda kura yako ni kukaa nayo.Walidhani wakihonga burudani vyuoni watafaidika na kura za vijana, matokeo ni NrNe
Msigwa kwani ni kijana , tafisili ya neno kijana itazamwe upya, mfano upo na miaka 45 plus ,utasemaje hu kijana?Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."
"Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha. Tumeanza kuona kwenye mitandao watu wanafanya makosa haya"
"Niwaambie vijana hakuna atakayefanya makosa haya akabaki salama, tutakupata, itakuwa ni suala la muda tu. Jinai haifi na tukiwakamata vijana hawa wengi utakuta wanasema tulikuwa hatujui"
Msigwa anataka kujiona yeye ndio anaakili kuliko vijana wote tanzania sioMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa