PreGE2025 Msigwa: Mihemko imekuwa mingi, uhamasishaji wa kijinga Mitandaoni umekuwa mwingi, Vijana mjitazame

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sikilizeni nini watu wanataka na sio kufanya manipulation kwa ajili ya kulinda interests zenu. Viongozi wa dini wanatoa mashauri kadhaa wa kadha mnawaapuuza ,wazee wa hekima kama Butiku ,Warioba kwa sehemu yao wamejaribu kuyaongelea mambo mbalimbali kuhusiana na yanayoendea nchini lakini mnafanya ignoring so what are you expecting ?
 
Pumbaf kabisa kichwa kama kiazi cha masika . Hivi bogus kama hili lilitokana na jamii yetu hiii hii
 
Nani amekutukana ama kukuchochea we msigwa? Wananchi mjue tumechooka
 
Aelewe tu vijana na watoto wengoli wanakuwa mashog

Ova
 
Aende huko, anafikiria hizi ni zama za kutishana. Wameua wananchi wasio na hatia wengi, je wameona kuna mtu kaogopa? Mimacho ile kama katoroka leo mirembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…