Hakuna neutral?Ni Umma Vs Wauaji
Ukiona mtu hayupo upande wa wananchi maana yake kasimama na wauaji
Kuwa neutral kwenye ujinga. The coin has two sides.Hakuna neutral?
Kwa hiyo ni aidha be black or white nothing grey?Kuwa neutral kwenye ujinga. The coin has two sides.
Chademq kama sio mtu wa kasakini pota kule 😁Mfumo gani tena? We unanufaika vipi na mfumo wa CHADEMA?
Ukinyamazia uovu maana yake unaunga mkono.Hakuna neutral?
Neutral ya nyokwe!Watu wanakufa wewe unaleta usenge apaHakuna neutral?
Ndio hivyo. Na kama ambavyo Malcom X aliwahi kusema kuwa "Haki haiombwi inadaiwa kinguvu"Kwa hiyo ni aidha be black or white nothing grey?
Tatizo watu hawajifunzi kutokana na makosaHuyu jamaa baada ya huyu mama kutoka madarakani, au kibarua kuisha, atakuja kuishi maisha ya woga sana.
Ipo siku nafasi yake watachukua watu wengine, wenda hata miaka mitano isifike. Vyeo vya kisiasa sio vya kuvitumikia kwa mihemko.
Naibu waziri mkuu leo yupo benchi, Spika yupo benchi. Msomali Bashe ni juzi tuu, Sumbawanga pale alivimba kwamba mashamba tutayarudisha, akijua uwaziri ni wa mama yake.
Serikali imeundwa na cheo chake kapewa mwingine mchana kweupe.