Msigwa na wengine mnafaidika na mfumo au faida yenu ni ajira tu?

Kwa kifupi sanaaaa. Gerson Msigwa hapambanii Profession (Taaluma) yake kwa sasa. Anapambania Tumbo lake na Wapendwa wake. Ni Mwandishi wa Habari wa Kitumwa kaseme hiki kafanye hivi. Full Stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…