Msigwa: Serikali inafanya tathmini ya Tamko la Jumuiya ya Madola kuhusu Lissu, tutawapa majibu

Hii nyara ndiyo inaweka ugumu kwa Lissu kuachiliwa
FB_IMG_1784713677856.jpg
 
Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea tamko kutoka kwa Jumuiya ya Madola linaloitaka kumwachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ndani ya siku 30. Akijibu swali la mwandishi wa habari, Msemaji wa Serikali alieleza kuwa serikali imeliona tamko hilo na kwa sasa inafanya tathmini ya kina ya maeneo yote yaliyobainishwa kwenye barua hiyo ili kuona namna ya kulitolea maamuzi na majibu rasmi.

Soma: Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

"Tamko ni kweli limetolewa. Serikali tumeliona, tunafanya tathmini tuone namna ya kulitekeleza. Lakini, nataka nikwambie Tanzania ni nchi huru, ni nchi inayojiamulia mambo yake yenyewe, lakini ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya kikiba na kisheria.

Tutafanya tathmini, tutayangalia maeneo yote ambayo Jumuia ya Madola wametuandikia na tutawasiliana nao, tutawapa majibu ya Serikali. Nimemaliza kujibu."

Deadline is around the corner
 
KAHABA WA MASJID NI UCHAFU MKUBWA SANA KWA TAIFA LETU...NILIWAAMBIA WATU HAPA JF KUWA VIONGOZI WAISLAMU NDIYO WANAO KWAMISHAGA TAIFA ....WASIO WAISLAMU WAKIJENGA NCHI ANAKUJA MUISLAMU KUBOMOA NA KUHALIBU ..NDIYO WAKISHIKA NCHI HADI WATOTO WAO WANAKUWA NI MIUNGU YA KUFANYA MAMBO YA KISHENZI YA KIANITHI KWA TAIFA ...
 
Hao ni wanachama tu wanaweza kufukuzwa kama Tanzania wenyewe wako ulaya.
Na wanachana hawana sauti. Wanapangiwa nini cha kufanya na nini cha kukataa kwa kigezo chanutapata maendeleao na misaada ukikubali hiki na kile.
 
Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea tamko kutoka kwa Jumuiya ya Madola linaloitaka kumwachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ndani ya siku 30. Akijibu swali la mwandishi wa habari, Msemaji wa Serikali alieleza kuwa serikali imeliona tamko hilo na kwa sasa inafanya tathmini ya kina ya maeneo yote yaliyobainishwa kwenye barua hiyo ili kuona namna ya kulitolea maamuzi na majibu rasmi.

Soma: Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

"Tamko ni kweli limetolewa. Serikali tumeliona, tunafanya tathmini tuone namna ya kulitekeleza. Lakini, nataka nikwambie Tanzania ni nchi huru, ni nchi inayojiamulia mambo yake yenyewe, lakini ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya kikiba na kisheria.

Tutafanya tathmini, tutayangalia maeneo yote ambayo Jumuia ya Madola wametuandikia na tutawasiliana nao, tutawapa majibu ya Serikali. Nimemaliza kujibu."

Asione aibu kusema kuwa wameagizwa kumwachiq MH Lissu hakuna cha tathmini maana hawana uwezo wa kuwagomea hao mabeberu
 
Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea tamko kutoka kwa Jumuiya ya Madola linaloitaka kumwachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ndani ya siku 30. Akijibu swali la mwandishi wa habari, Msemaji wa Serikali alieleza kuwa serikali imeliona tamko hilo na kwa sasa inafanya tathmini ya kina ya maeneo yote yaliyobainishwa kwenye barua hiyo ili kuona namna ya kulitolea maamuzi na majibu rasmi.

Soma: Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

"Tamko ni kweli limetolewa. Serikali tumeliona, tunafanya tathmini tuone namna ya kulitekeleza. Lakini, nataka nikwambie Tanzania ni nchi huru, ni nchi inayojiamulia mambo yake yenyewe, lakini ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya kikiba na kisheria.

Tutafanya tathmini, tutayangalia maeneo yote ambayo Jumuia ya Madola wametuandikia na tutawasiliana nao, tutawapa majibu ya Serikali. Nimemaliza kujibu."

Mtamuua mzee wenu..
 
Attachments

  • downloadfile(88).jpg
    downloadfile(88).jpg
    29.4 KB · Views: 16
Back
Top Bottom