Msigwa: Serikali inafanya tathmini ya Tamko la Jumuiya ya Madola kuhusu Lissu, tutawapa majibu

Hao wapo radhi Nchi iwekewe vikwazo tukose misaada hata baadhi ya Nchi kutuwekea vikwazo vya Elimu na biashara ila sio kumtoa Lissu unaona wanaongelea ni Nchi huru watakuja na majibu kuonyesha wao wapo huru ila hawajui kuwa Dunia inaendeshwa na watoa tamko..

Inawezekana Tanzania kuna sehemu tulikosea tunapata laana haiwezekani tukawa na watu wasio na hofu ya kitu chochote kabisaa harafu ndio watoa maamuzi yetu.
 
Tuna nchi ya kiseng* sana,ukipata nafasi ya kwenda kuishi nchi za watu usigeuke nyuma nenda mazima na usirudi kabisa,maana Tanzania ni jehanamu na CCM ndio mashetani yenyewe
Tanzania sio nchi tena ,ni zizi LA nguruwe na ng'ombe ,hayo mapumbavu ni zero brain +++
 
Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea tamko kutoka kwa Jumuiya ya Madola linaloitaka kumwachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ndani ya siku 30. Akijibu swali la mwandishi wa habari, Msemaji wa Serikali alieleza kuwa serikali imeliona tamko hilo na kwa sasa inafanya tathmini ya kina ya maeneo yote yaliyobainishwa kwenye barua hiyo ili kuona namna ya kulitolea maamuzi na majibu rasmi.

Soma: Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

"Tamko ni kweli limetolewa. Serikali tumeliona, tunafanya tathmini tuone namna ya kulitekeleza. Lakini, nataka nikwambie Tanzania ni nchi huru, ni nchi inayojiamulia mambo yake yenyewe, lakini ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya kikiba na kisheria."

"Tutafanya tathmini, tutayangalia maeneo yote ambayo Jumuia ya Madola wametuandikia na tutawasiliana nao, tutawapa majibu ya Serikali. Nimemaliza kujibu."

Soma: Wasira: Jumuiya ya Madola haiwezi kutuamrisha, sisi ni Sovereign state
Huyu nyumbuu wa Magufuli anaongea kama hana ubongo
 
Achana na hii mambo inaendelea sasa, total incompetence, I just wonder how will the next gov behave...... Hatuna tofauti kubwa sana na Trump na wafuasi wake wanavyofanya maamuzi kama wamekatwa vichwa.... Ila swala la Gov capture makes a lot of sense ukifikiria kwa mapana sana....
 
Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea tamko kutoka kwa Jumuiya ya Madola linaloitaka kumwachia huru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ndani ya siku 30. Akijibu swali la mwandishi wa habari, Msemaji wa Serikali alieleza kuwa serikali imeliona tamko hilo na kwa sasa inafanya tathmini ya kina ya maeneo yote yaliyobainishwa kwenye barua hiyo ili kuona namna ya kulitolea maamuzi na majibu rasmi.

Soma: Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

"Tamko ni kweli limetolewa. Serikali tumeliona, tunafanya tathmini tuone namna ya kulitekeleza. Lakini, nataka nikwambie Tanzania ni nchi huru, ni nchi inayojiamulia mambo yake yenyewe, lakini ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya kikiba na kisheria."

"Tutafanya tathmini, tutayangalia maeneo yote ambayo Jumuia ya Madola wametuandikia na tutawasiliana nao, tutawapa majibu ya Serikali. Nimemaliza kujibu."

Soma: Wasira: Jumuiya ya Madola haiwezi kutuamrisha, sisi ni Sovereign state
Lini tutapata matokeo ya tathimini maana kwa sasa zimekuwa tatu:-
1. CNN
2. BBC
3. Commonwealth
 
Kichwa panzi, very stupid man, very stupid
A bunch of very stupid leaders
Extremely stupid leadership
 
Back
Top Bottom