Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Hilo linajulikana ndio ilikua kazi ya Polepole na Ndugai, waliokataa kununuliwa kama kuku sokoni, walikabiziwa kwa Bashite na Sabaya.
Mwendawazimu ni wa JEHANAMU milele na kizazi chake chote.
Anaekataa kuhamia CCM, anatungiwa majambo, sijui mlevi, sijui ...... na bunge linnaahilisha shughuli zote na kuwa vigodoro.
Huku Wasomi wetu na HASA Waandishi nguli, waliyostahili kuheshimiwa wakiwa wanashindana kumsifia Jiwe; "......amefanya makubwa........"
Enzi hii yastahili kujakumbukwa nyakati za giza kwa taifa hili.
 
Zilipendwa huyo.

Kama aliambiwa hivyo na yakatimia sasa anataka nini tena?

Atwambie kama alikuwa nanhongwa au la?

Alitumia haki yake kugoma na cha moto alukiina ndo maana sasa sio mbunge
Pia kuna Mtu ambaye siyo rais tena!
 
Ndungai aliona mbali na kweli ubunge aliukosa....kuna watu wanamaono aisee.
 
Ukijua haya kuhusu dhalimu Magufuli, hutashangaa kwa matendo yake, tabia zake na kauli zake!
  • Malezi yake akiwa mtoto yalikuwa ya kuungaunga
  • Ukabila wake ulikuwa wa kuungaunga
  • Uraia wake ulikuwa wa kuungaunga
  • Kusoma kwake kulikuwa kwa kuungauunga
  • Shule alizosomea zilikuwa za kuungaunga
  • Ufaulu wake kielimu ulikuwa wa kuungaunga
  • Imani yake kidini ulikuwa wa kuungaunga
  • Uongozi wake kifamilia ulikuwa wa kuungaunga
  • Ukemia wake ulikuwa wa kuungaunga
  • UPhD wake ulikuwa wa kuungaunga
  • Lugha zote alizoongea zilikuwa za kuungaunga
  • Kisiasa uCCM wake ulikuwa wa kuungaunga
  • Ubunge wake ulikuwa wa kuungaunga
  • Urais wake ulikuwa wa kuungaunga
Kifupi alikuwa feki...! Adui wake mkubwa alikuwa ni yeyote aliyejaribu kumkosoa au kuhoji uhalisia wake huo!
 
Kwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.

Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
Lakini utawazuia vipi mkuu, kama hali yenyewe ndivyo ilivyo hivi ndani ya nchi hii! Utawazuia vipi!

Najuwa jibu rahisi, ... KATIBA MPYA!

Haya nieleze hiyo Katiba mpya itazuia vipi?

Kwa maoni yangu: Jibu sahihi ni moja tu.

Ni wananchi pekee, kwa umoja wao, ndio wenye uwezo wa kuzuia hilo lisitokee.
 
Miongoni mwa Watu wachache ninao waamnini sana kwenye siasa za upinzani ni Mch.Msigwa.
Ndugai anainajisi Bunge letu!
Ashtakiwe.
Huyu!nani anaweza kumwamini tena Kama aliwahi kukiri hadaharani kuwa alikuwa anamtungia umbeya Kinana kuhusiana na ile inshu ya kusafirisha twiga wetu kwenye ndege!
 
Msigwa yupi kwanza? Yule anayeongea uongo baadae anakili hadharani na kuomba msamaha?!
Muongo sana huyo jamaa
 
Sasa na hawa wanaoendeleza hiyo miradi, sijui 'labda wametokea Mars.... kaaazi kwelikweli na kazi iendelee.
Yule jamaa alikuwa amevuka rank ya ujinga ameingia kwenye upumbavu..

Na Wajinga wengi walikuwa wanamfata Kila hatua alikokuwa anawapeleka
 
Kwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.

Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
unadhani watu aina ipi wanafaa kushika madaraka!!!!lissu,mbowe au mdude??
 
Una akili Kweli wewe,hivi wale Wadada wamemkosea Imhotep au wamelikosea Taifa?
QUOTE="hp4510, post: 39330404, member: 66764"]
Hahaha dah we jamaa na wale wadada sijui wamekuosea nn
[/QUOTE]
 
Kwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.

Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
Kifo cha Mwendazake tunasherehekea sana ila hatujatamka tu lakini tunekunywa sana na tumediscuss sana. Mungu ametupenda Watanzania sana
 
Kifo cha Mwendazake tunasherehekea sana ila hatujatamka tu lakini tunekunywa sana na tumediscuss sana. Mungu ametupenda Watanzania sana
Na sijui ilikuaje akapenya hadi kuwa rais.
Huyu jamaa hakufaa hats kuongoza familia yake,katili ,roho mbaya,hajuti kumwaga damu,mwongo na dhulumati mkubwa.
 
Wazazi wangu wako hai na wanadunda na nimeshawachanja chanjo ya Corona huyo Ibilisi wako ameuwa Wazee wengi kwa kuiachia Corona iteketeze Taifa

Afadhali sasa tymepata Kiongozi ambae ameaguza Chanjo kwa ajili ya Wazee na Wagonjwa
Hivi mujarabu kabisa Hili.
 
Ni kweli, Ila huyu huyu mchungaji alimuomba radhi KINANA kwa kumsingizia uongo kwa kutumia siasa hizo hizo
Kuomba radhi ni uungwana mkubwa sana tena kwa mwanasiasa!! Sidhani kama unaowafahamu wangeweza kuomba radhi.
 
Back
Top Bottom