chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
Wanampata wapi,waliopo wote ni madalali na Sacco's yao .Yaani natamani CHADEMA waweke mtu makini sana pale Kongwa 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanampata wapi,waliopo wote ni madalali na Sacco's yao .Yaani natamani CHADEMA waweke mtu makini sana pale Kongwa 2025
Kitu ambacho nimekua najiuliza ni ule umati wakati wa maombolezo ya mwendakuzimu ulikua na tafsiri gani? Sijapata jibu bado.Katika maamuzi ya hovyo kuwahi kufanywa na watu wa inner circle ni ya kumpendekeza Magufuli kuwa Rais.Nchi ilikua inatumbukia shimoni na ingewagalimu miaka mingi sana kizazi cha mbele kuirudisha kwenye mstari.Kwangu mimi Magufuli alikua ni Rais wa hovyo tangia nchi ipate uhuru!!!.
unadhani watu aina ipi wanafaa kushika madaraka!!!!lissu,mbowe au mdude??
Hulindi kaburi la ibilisi leo? Lile dhalimu lilikuwa linaharibu hii nchi jumla.
Kimsingi Ndugai amedhalilika sana ! sema viongozi wengi wa ccm hawana aibuView attachment 1817711
Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
Hatari na nusu yaniii ...... Duh yaani Kama stoiri iendelee vileeeView attachment 1817711
Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
Huu utawala wa kisheria Sasa utakuja lini?, Maana kila siku tunaambiwa ungekuwepo hili au lile ovu lisingefanyika.Katika nchi zenye utawala wa sheria Ndungai asingekua madarakani muda huu.
Katiba mpya ndiyo msingi maana hii katiba ya sasa inailinda CCM kama ilivyolinda utawala wa wakoloni.Huu utawala wa kisheria Sasa utakuja lini?, Maana kila siku tunaambiwa ungekuwepo hili au lile ovu lisingefanyika.
Ni nami wa kuuleta?
Serikali?
Wananchi?
Wazungu?
Punguza jazba twende taratibu mjomba.Zilipendwa huyo.
Kama aliambiwa hivyo na yakatimia sasa anataka nini tena?
Atwambie kama alikuwa nanhongwa au la?
Alitumia haki yake kugoma na cha moto alukiina ndo maana sasa sio mbunge
Watu walijaa kushangaa.....maana hata mimi mwenyewe nililia nilipopata taarifa ya kifo chake japo nilikua simpendiKitu ambacho nimekua najiuliza ni ule umati wakati wa maombolezo ya mwendakuzimu ulikua na tafsiri gani? Sijapata jibu bado.
Halafu wewe dish kweli limetilt, soon utaanza kuokota makopo. Vibonzo kwenye kila post ni ushahidi tosha kabisa kuwa hauko sawa.Sasa mambo hadharani, Spika bado atawakumbatia wale Wasichana?
View attachment 1816878
SI ALIKUAMBIA UKWELI SASA UMEUPATA? UNGEMSIKILIZA SASA HIVIUNGEKUWA NA KINA MDEE MJENGONI SASA UMEBAKI KUWA MTU WA MITANDAONI AISEE NJAA MBAYA SANAView attachment 1817711
Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
Japokuwa Corona ni janga la kidunia lakini kwetu sisi Watanzania Corona ni blessings in disguise kwani imetuondolea janga la kitaifa.View attachment 1817711
Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
Kwani alizaliwa awe Mbunge?Zilipendwa huyo.
Kama aliambiwa hivyo na yakatimia sasa anataka nini tena?
Atwambie kama alikuwa nanhongwa au la?
Alitumia haki yake kugoma na cha moto alukiina ndo maana sasa sio mbunge
Katiba katiba katibaKwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.
Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
View attachment 1817711
Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM