Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Katika maamuzi ya hovyo kuwahi kufanywa na watu wa inner circle ni ya kumpendekeza Magufuli kuwa Rais.Nchi ilikua inatumbukia shimoni na ingewagalimu miaka mingi sana kizazi cha mbele kuirudisha kwenye mstari.Kwangu mimi Magufuli alikua ni Rais wa hovyo tangia nchi ipate uhuru!!!.
Kitu ambacho nimekua najiuliza ni ule umati wakati wa maombolezo ya mwendakuzimu ulikua na tafsiri gani? Sijapata jibu bado.
 
Katika nchi zenye utawala wa sheria Ndungai asingekua madarakani muda huu.
Huu utawala wa kisheria Sasa utakuja lini?, Maana kila siku tunaambiwa ungekuwepo hili au lile ovu lisingefanyika.
Ni nami wa kuuleta?
Serikali?
Wananchi?
Wazungu?
 
Huu utawala wa kisheria Sasa utakuja lini?, Maana kila siku tunaambiwa ungekuwepo hili au lile ovu lisingefanyika.
Ni nami wa kuuleta?
Serikali?
Wananchi?
Wazungu?
Katiba mpya ndiyo msingi maana hii katiba ya sasa inailinda CCM kama ilivyolinda utawala wa wakoloni.
 
Zilipendwa huyo.

Kama aliambiwa hivyo na yakatimia sasa anataka nini tena?

Atwambie kama alikuwa nanhongwa au la?

Alitumia haki yake kugoma na cha moto alukiina ndo maana sasa sio mbunge
Punguza jazba twende taratibu mjomba.
Mbona kama unateseka Mchungaji kusema ukweli hadharani.?!
 
Kitu ambacho nimekua najiuliza ni ule umati wakati wa maombolezo ya mwendakuzimu ulikua na tafsiri gani? Sijapata jibu bado.
Watu walijaa kushangaa.....maana hata mimi mwenyewe nililia nilipopata taarifa ya kifo chake japo nilikua simpendi
 
Zilipendwa huyo.

Kama aliambiwa hivyo na yakatimia sasa anataka nini tena?

Atwambie kama alikuwa nanhongwa au la?

Alitumia haki yake kugoma na cha moto alukiina ndo maana sasa sio mbunge
Kwani alizaliwa awe Mbunge?
 
Kwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.

Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
Katiba katiba katiba
 
Ndio kazi ya mwenyekiti kushawishi wanachama kujiuunga... Chadema waliwaita wabunge wangapi wa CCM kujiunga nao mbona wao hawajitokezi kusema hayo... huu ni ucnge kama ulikataa si basi kinacho kuuma nini? Komaa usubili 2025 tuone kama utarudi jimboni! Pathetic
View attachment 1817711
Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM
 
Back
Top Bottom