ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Anaekataa kuhamia CCM, anatungiwa majambo, sijui mlevi, sijui ...... na bunge linnaahilisha shughuli zote na kuwa vigodoro.Hilo linajulikana ndio ilikua kazi ya Polepole na Ndugai, waliokataa kununuliwa kama kuku sokoni, walikabiziwa kwa Bashite na Sabaya.
Mwendawazimu ni wa JEHANAMU milele na kizazi chake chote.
Pia kuna Mtu ambaye siyo rais tena!Zilipendwa huyo.
Kama aliambiwa hivyo na yakatimia sasa anataka nini tena?
Atwambie kama alikuwa nanhongwa au la?
Alitumia haki yake kugoma na cha moto alukiina ndo maana sasa sio mbunge
Ndugai ni kama Magufuli, 2025 hafiki, hakikahttps://www.facebook.com/
Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
Lakini utawazuia vipi mkuu, kama hali yenyewe ndivyo ilivyo hivi ndani ya nchi hii! Utawazuia vipi!Kwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.
Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
Huyu!nani anaweza kumwamini tena Kama aliwahi kukiri hadaharani kuwa alikuwa anamtungia umbeya Kinana kuhusiana na ile inshu ya kusafirisha twiga wetu kwenye ndege!Miongoni mwa Watu wachache ninao waamnini sana kwenye siasa za upinzani ni Mch.Msigwa.
Ndugai anainajisi Bunge letu!
Ashtakiwe.
Huyu faili lake linakaribia kujaa
Linalosikitisha zaidi ni kuona huyo huyo mshiriki wa uchafuzi huo ndiye bado anaendesha chombo muhimu sana kama Bunge.Yalikua maandalizi ya miaka saba ya nyongeza
SubwooferUfafanuzi tafadhali.
Huyu = mwendazake au huyu = Msigwa ?
Yule jamaa alikuwa amevuka rank ya ujinga ameingia kwenye upumbavu..Sasa na hawa wanaoendeleza hiyo miradi, sijui 'labda wametokea Mars.... kaaazi kwelikweli na kazi iendelee.
unadhani watu aina ipi wanafaa kushika madaraka!!!!lissu,mbowe au mdude??Kwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.
Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
Na wana kinga ya maisha, hawawezi kushtakiwa kwa upuuzi huu walioufanya.
Kifo cha Mwendazake tunasherehekea sana ila hatujatamka tu lakini tunekunywa sana na tumediscuss sana. Mungu ametupenda Watanzania sanaKwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.
Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
Na sijui ilikuaje akapenya hadi kuwa rais.Kifo cha Mwendazake tunasherehekea sana ila hatujatamka tu lakini tunekunywa sana na tumediscuss sana. Mungu ametupenda Watanzania sana
Hivi mujarabu kabisa Hili.Wazazi wangu wako hai na wanadunda na nimeshawachanja chanjo ya Corona huyo Ibilisi wako ameuwa Wazee wengi kwa kuiachia Corona iteketeze Taifa
Afadhali sasa tymepata Kiongozi ambae ameaguza Chanjo kwa ajili ya Wazee na Wagonjwa
Kuomba radhi ni uungwana mkubwa sana tena kwa mwanasiasa!! Sidhani kama unaowafahamu wangeweza kuomba radhi.Ni kweli, Ila huyu huyu mchungaji alimuomba radhi KINANA kwa kumsingizia uongo kwa kutumia siasa hizo hizo