Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata



kwa kile alichodai Hakimu sababu zilizo nje ya uwezo wake. 😂 😳
Sky Eclat hii ikoje hii
 
Zilipendwa huyo.

Kama aliambiwa hivyo na yakatimia sasa anataka nini tena?

Atwambie kama alikuwa nanhongwa au la?

Alitumia haki yake kugoma na cha moto alukiina ndo maana sasa sio mbunge
Lakini anaishi na muda wa kurudi Bungeni upo kama ni mzima wa afya tele atarudi tu Bungeni yule Kunguni wenu wa Chato cheo chochote cha duniani na mbinguni havimhusu kwa sasa kutokana na roho yake mbaya iliyojaa kiburi,ubabe,unafiki,uongo,uuaji,rushwa,dharau na kujimwambafai mwambafai.
 
Mwisho wa yote kama hatutapata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mambo haya hayatakwisha vyama vyote vya upinzani,N.G.Os na mashirika yanayopigania ustawi na haki za binadamu ndiyo wakati kuwajibika ktk nafasi zenu.
 
Kumbe hata wachungaji nao wanakuwaga wanafiki,muda wote alikuwa wapi kuyasema hayo???
Asitafute umaarufu baada ya JPM kufa..
Sijawahi ona mchungaji mnafiki kama huyu.
 
Kumbe hata wachungaji nao wanakuwaga wanafiki,muda wote alikuwa wapi kuyasema hayo???
Asitafute umaarufu baada ya JPM kufa..
Sijawahi ona mchungaji mnafiki kama huyu.
Wewe ni mbumbumbu na mpumbavu fulani wakati Magufuri anazuia mikutano ya kisiasa ulikuwa hujazaliwa? Kuminya uhuru wa vyombo vya habari ulikuwa ahera?? Ulitaka akaongelee chooni,au tumboni mwako??THINK TWICE.
 
Ukijua haya kuhusu dhalimu Magufuli, hutashangaa kwa matendo yake, tabia zake na kauli zake!
  • Malezi yake akiwa mtoto yalikuwa ya kuungaunga
  • Ukabila wake ulikuwa wa kuungaunga
  • Uraia wake ulikuwa wa kuungaunga
  • Kusoma kwake kulikuwa kwa kuungauunga
  • Shule alizosomea zilikuwa za kuungaunga
  • Ufaulu wake kielimu ulikuwa wa kuungaunga
  • Imani yake kidini ulikuwa wa kuungaunga
  • Uongozi wake kifamilia ulikuwa wa kuungaunga
  • Ukemia wake ulikuwa wa kuungaunga
  • UPhD wake ulikuwa wa kuungaunga
  • Lugha zote alizoongea zilikuwa za kuungaunga
  • Kisiasa uCCM wake ulikuwa wa kuungaunga
  • Ubunge wake ulikuwa wa kuungaunga
  • Urais wake ulikuwa wa kuungaunga
Kifupi alikuwa feki...! Adui wake mkubwa alikuwa ni yeyote aliyejaribu kumkosoa au kuhoji uhalisia wake huo!
Magufuli alikuwa mwongo na kila kitu chake likikuwa cha uwongo. Hata afya yake ilikuwa uwongo, takwimu za uchumi zilikuwa za uwongo, makusanyo TRA nayo yalikuwa ya uwongo

Alipokufa kukawa uwongo kuwa anachapa kazi ofsini

Ile takataka isitokee tena kwenye Tanzania yetu hata siku moja. Mungu katupenda
 
Hizi tuhuma ni nzito nzito sana sana, tunaomba Spika uje utoe ufafanuzi wa kina, kama kweli mlitumia madaraka yenu kulaghai viongozi wa Upinzani hili jambo ni zito mno.
 
Ndio kazi ya mwenyekiti kushawishi wanachama kujiuunga... Chadema waliwaita wabunge wangapi wa CCM kujiunga nao mbona wao hawajitokezi kusema hayo... huu ni ucnge kama ulikataa si basi kinacho kuuma nini? Komaa usubili 2025 tuone kama utarudi jimboni! Pathetic
Mkuu naona umeamua kumpa za uso kabisa 😄😄😄
 
View attachment 1817711
Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
Mkuu Sky Eclat, kama uko karibu na mch msigwa please mwambie tunamtayarishia mazingira ya kumwezesha kugombea nafasi kubwa hapa nchini kwa hiyo aache siasa za kitoto kitoto, uropokaji na matusi (km yule chizi wa ubeleji). Mwambie awe anatema pointi na hoja zenye mashiko, badala ya porojo.
 
Mkuu naona umeamua kumpa za uso kabisa 😄😄😄
Yaani kuitwa na mwenyekiti wa chama na kushawishiwa kujiuunga na chama chake ni wajibu wake mi sijaona kama ilikuwa jambo kubwa la ajabu kulifanya habari ya kishujaa.... Na uzuri akaambiwa upepo uko upande huu ukishupaza shingo utaisoma namba... Na kweli kaisoma, minyumbu inamsifia utadhani katoka jando.. full kuropoka.
 
View attachment 1817711
Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
Hili chungaji toto jinga sana.Siku ileile anayodai aliambiwa hivyo na spika angeenda kwenye vyombo vya habari ayaseme hayo anayoyasema.Na hata kama kuna kitu alipewa siku hiyo angekisema,siyo anatuibukia leo hii na ujinga wake.
 
Ila angeyatamka hayo baada tu ya kukataa, Kwa kuitisha press, ingemjengea heshima Sana.
Kwa mazingira ya kipindi kile Cha mwenda zake hiyo press angeitishia wap

Nape nnauye CCM mwenzenu alipotaka kuitisha press baada ya kupigwa chini uwaziri muliishia kumtolea bastola sasa msigwa c mngemuua kabisa

Acheni Mungu aitwe Mungu
 
Back
Top Bottom