Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Sababu kuu ni kutengeneza mazingira ya wizi wa kura.My Take
Hongera Rais Samia inatekeleza sera ya kujitegenea Kwa vitendo na Nchi inasonga mbele.
Wale wanaojilozaga Kwa Mabeberu safari hii imewakata ๐๐๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DKz7yl9NBhm/?igsh=aTcyZnU1ZjRuNnMw
Upuuzi mtupu, bajeti yetu tilioni 45,makusanyo tilioni 30,tilioni 15 zitatoka wapi! Lazima ccm wakashikwe makalio na mzungu! Mishahara tu peke yake tilioni 33! Maendeleo tilioni 0.7!My Take
Hongera Rais Samia inatekeleza sera ya kujitegenea Kwa vitendo na Nchi inasonga mbele.
Wale wanaojilozaga Kwa Mabeberu safari hii imewakata ๐๐๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DKz7yl9NBhm/?igsh=aTcyZnU1ZjRuNnMw
Wizi gani Sasa Kwa nyie ambao hata kuweka wagombea mnashindwa?Sababu kuu ni kutengeneza mazingira ya wizi wa kura.
Umeelewa mada? Hii kazi ameiweza Samia tuuHata magufuri alitumiefedha za Ndani kuandaa uchaguzi
Ona hii nyumbu ya Chadomo akili hakuna kabisa ๐๐Upuuzi mtupu, bajeti yetu tilioni 45,makusanyo tilioni 30,tilioni 15 zitatoka wapi! Lazima ccm wakashikwe makalio na mzungu! Mishahara tu peke yake tilioni 33! Maendeleo tilioni 0.7!
Uchaguzi wa 2020 pia mlisema jpm ameweka historia hiyo hiyo. Ila sisi jamani ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎMy Take
Hongera Rais Samia inatekeleza sera ya kujitegenea Kwa vitendo na Nchi inasonga mbele.
Wale wanaojilozaga Kwa Mabeberu safari hii imewakata ๐๐๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DKz7yl9NBhm/?igsh=aTcyZnU1ZjRuNnMw
Mlisemaga na nani? Weka ushahidiUchaguzi wa 2020 pia mlisema jpm ameweka historia hiyo hiyo. Ila sisi jamani ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Hujabubujikwa na machozi?My Take
Hongera Rais Samia inatekeleza sera ya kujitegenea Kwa vitendo na Nchi inasonga mbele.
Wale wanaojilozaga Kwa Mabeberu safari hii imewakata ๐๐๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DKz7yl9NBhm/?igsh=aTcyZnU1ZjRuNnMw
Mpaka yamekauka ๐๐Hujabubujikwa na machozi?
Ulizaliwa lini mkuu,Umeelewa mada? Hii kazi ameiweza Samia tuu
Weka ushahidiUlizaliwa lini mkuu,
2020, uchaguzi ulitumia pesa za ndani pia kupitia Magufuli