Na tunatakiwa tulipe😅Saa hizi tuna deni la mama trilioni 100.
Na tunatakiwa tulipe😅Saa hizi tuna deni la mama trilioni 100.
Atalipa mama .Na tunatakiwa tulipe😅
My Take
Hongera Rais Samia inatekeleza sera ya kujitegenea Kwa vitendo na Nchi inasonga mbele.
Wale wanaojilozaga Kwa Mabeberu safari hii imewakata 😆😆👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DKz7yl9NBhm/?igsh=aTcyZnU1ZjRuNnMw
Walitenga bei gani?Uchaguzi Tanzania 2020: Kwa mara ya kwanza Tanzania itafanya uchaguzi bila kutegemea msaada wa nje
![]()
Maelezo ya picha,Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwezi huu wa Oktoba 28Maelezo kuhusu taarifa
Bajeti ya uchaguzi ni moja kati ya masuala ya msingi zaidi ambayo huenda yakachangia shughuli za uchaguzi kwenda kwa uafinisi ama kusuasua.
- Author,Na Munira Hussein
- Nafasi,BBC Swahili Dar es salaam
- 23 Oktoba 2020
Katika uchaguzi wa nchi nyingi zinazoendelea hasa Barani Afrika, fedha za kuendesha shughuli nzima ya uchaguzi huegemea zaidi michango na misaada kutoka nchi zilizoendelea ama mashirika makubwa duniani kama benki ya dunia na mashirika ya kimataifa.
Na kiasi kingine cha fedha hutolewa na serikali ya nchi husika.
Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwezi huu Oktoba 28. Na tofauti na miaka iliyopita, bajeti ya uchaguzi ya mwaka huu inatolewa yote na serikali ya Tanzania.
Bila kusubiri msaada wa mashirika wa nchi za nje, Tanzania ilitangaza kuwa uchaguzi utagharamiwa na serikali ya nchi hiyo kwa asilimia 100.
BBC
Ni b 387 kama sikosei,Walitenga bei gani?
Kwani hujaona hela ya kulipa deni kwenye Bajeti? Huwa unafuatwa kwako?Na tunatakiwa tulipe😅
Majitaka hapo Yako wapi? Huo si ndio ukweli?Siasa za maji taka ata shule na mabarabara mnasemaga mnajenga kwa hela zenu ila deni lonazid kukua tu
Halafu hawa wapumbavu wanatumwa hapa na CCM ni mafukara wa kutupwa wanalipwa elf 10 kwa sikuUkiwa mwana CCM lazima.akili uziache choooni. Afu kichwani unajaza mikojo
CCM hawana akiliNitajie hata nchi mmoja iliyofadhili uchaguzi wa 2020
Mbona unakuwa mkali sasa mkuu,ni kweli mtalipa,nimekataa?Kwani hujaona hela ya kulipa deni kwenye Bajeti? Huwa unafuatwa kwako?
😅 Hapa ChoiceVariable ndiyo kafurahi sasa... hakika atalipaAtalipa mama .
Anaupiga mwingi sana.
My Take
Hongera Rais Samia inatekeleza sera ya kujitegenea Kwa vitendo na Nchi inasonga mbele.
Wale wanaojilozaga Kwa Mabeberu safari hii imewakata 😆😆👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DKz7yl9NBhm/?igsh=aTcyZnU1ZjRuNnMw
Mtanikumbuka 🙏Hata magufuri alitumiefedha za Ndani kuandaa uchaguzi
Mkuu hilo ni deni la mama🤣 siyo la taifaDeni la Taifa sasa, ni kama mashindano jinsi mnavyokopa, ni kama hamkusanyi kabisa yaani
Hawa kunguni wa mama wa miezi michache sana ya kutamba imebaki kabla ya mabadiliko kufanyika ambayo hawatoamini macho yao.😅 Hapa ChoiceVariable ndiyo kafurahi sasa... hakika atalipa
Umesikia deni la serikali na la huyu mama limefika trillion ngapi?
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 utafadhiliwa kwa fedha za ndani, amesema hayo leo Juni 11, 2025.