PreGE2025 Msigwa: Uchaguzi wa Tanzania utafadhiliwa kwa fedha zetu wenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Walitenga bei gani?
 
Siasa za maji taka ata shule na mabarabara mnasemaga mnajenga kwa hela zenu ila deni lonazid kukua tu
Majitaka hapo Yako wapi? Huo si ndio ukweli?

Kwani deni likiongezeka uchumi unapungua? Serikali hailipi? Toka Nyerere tunakopa Kuna shida gani?
 
kabla ya hapo tulitegemea misaada ya nje ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ila Samia Kwa vituko .


Oya vipi mwakani Tanzania Premier league itatumia VAR au la ?

Kwasababu bajeti iliyopita tuliambiwa tutatumia VAR na ligi ndo hiyo inaisha.
 
From TZS Tr. 55 in 2021 to TZS Tr. 107 in 2025. Hili linafikirisha sana, hizi fedha zote zimeenda wapi.

Magufuli aliendesha uchaguzi bila kukopa, tena kwa almost Bil. 300 tu, huyu karibia Tr. 1.
 

Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 utafadhiliwa kwa fedha za ndani, amesema hayo leo Juni 11, 2025.
Umesikia deni la serikali na la huyu mama limefika trillion ngapi?
Fedha za ndani?๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ