Lissu alishakataa kuachiwa kwa hizo style zao. Aina yoyote ile ya uachiwaji ametaka iwe katika mfumo wa kimahakama, ambapo pia itampatia nguvu kisheria juu ya hatua za kuchukua dhidi ya serikali na siyo kuachiwa kwa mtu kujisikia ili mtu ajipatie sifa za kutaka kujionyesha ana huruma.Pamoja na yote yanayoendelea mahakamani hivi sasa kuhusu kesi ya Lissu, huu ndio utabiri wangu kutokana na uzoefu nlilioupata katika kufuatilia siasa na wanasiasa.
Naomba niishie hapa.
ICC inawasubiri na nyie mkafungwe kifungo cha maishaHizi tabiri tushazichoka. Kilichobaki ni kunyongwa hadi kufa tu!
Asilimia kubwa inawezekana kuwa hiviMimi kwa jicho langu naona tutakutana na habari "Kwa maslahi mapana ya taifa,DPP ameamua kutoendelea na kesi"!
Kila nikiwaza naona inakataa,sioni kwa namna yoyote CDF akienda kusimama kizimbani,sioni kabisaa!
Sisi tunataka kesi iende hadi mwisho tuone nani mbabe wa Sheria hatutaki ujinga ujinga wa magenge ya watekaji na wafiraji yajione Mwamba.Pamoja na yote yanayoendelea mahakamani hivi sasa kuhusu kesi ya Lissu, huu ndio utabiri wangu kutokana na uzoefu nlilioupata katika kufuatilia siasa na wanasiasa.
Naomba niishie hapa.
Hizo habari hatuzitaki waendelee na kesi yao over.Mimi kwa jicho langu naona tutakutana na habari "Kwa maslahi mapana ya taifa,DPP ameamua kutoendelea na kesi"!
Kila nikiwaza naona inakataa,sioni kwa namna yoyote CDF akienda kusimama kizimbani,sioni kabisaa!
Lissu hataki msamaha wowote anataka kesi iende hadi mwisho ajulikane mbabe wa Sheria sio ujinga ujinga.Asilimia kubwa inawezekana kuwa hivi
Kwa sababu CDF, IGP na DCI wanakuja kumtetea Lisu mahakamani na Lisu atawauliza maswali ambayo yatabeba upande wake. Akina Katuga wawezi kufanya cross examination ya kuwadhihaki CDF , IGP na DCI kama ambavyo wamekua wakiwakebehi na kutoa maneno ya dharau kwa mashahidi wa Lisu waliotangulia.
Lkn pia wakipata summons ya mahakama lazima waje wawezi kudharau mahakama wasipokuja mahakama atatoa amri ya kuwakamata waje kutoa ushahidi kwa lazima na mahakama itaangalia pia aina ya utetezi wao kama walikuja kweli kutetea au kumkomoa mtuhumiwa
Hii kesi kuna uwezekano wa kufutwa
Lissu kumfungwa kwa kukomolewa badae aachiwe kwa msamaha wa Rais ili asije kugombea cheo chochote au yeye aje akata rufaa lkn tayari ilisha mwathiri kijamii na kisiasa.
Anyway tuombe Mungu iishe mapema tuone hatima yake.
UmenenaLissu alishakataa kuachiwa kwa hizo style zao. Aina yoyote ile ya uachiwaji ametaka iwe katika mfumo wa kimahakama, ambapo pia itampatia nguvu kisheria juu ya hatua za kuchukua dhidi ya serikali na siyo kuachiwa kwa mtu kujisikia ili mtu ajipatie sifa za kutaka kujionyesha ana huruma.
Mbowe aliachiwa kimuafaka, Lissu hataki hilo sababu ameshasema kesi ni ya kisiasa na kutungwa. Style aliyoachiwa Mbowe muda wowote wakiamua wanamkamata na kumrudisha ndani kwa kesi ileile.
Lissu siyo fala.
Ahahahahaha! Unafikiri ICC inaendeshwa na Shoga Amsterdam? Ahahahahaha!ICC inawasubiri na nyie mkafungwe kifungo cha maisha
Hata nami naiona hiyo. Hapa ni kihakikisha Lissu hagombei tena uraisi. Dadek.Pamoja na yote yanayoendelea mahakamani hivi sasa kuhusu kesi ya Lissu, huu ndio utabiri wangu kutokana na uzoefu nlilioupata katika kufuatilia siasa na wanasiasa.
Naomba niishie hapa.
Ngosha mamihayo madamu nkoyiNaona sasa hivi vijana mkishamaliza kupiga nyeto za jioni mnakimbilia kuanzisha nyuzi za kitoto