Msijiulize sana, ni kweli GINIMBI alikuwa na jeneza kwenye chumba chake cha siri

Aigle

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
1,540
Reaction score
7,973
Watu wamekua wakijiuliza kweli kama Bilionea huyu alikua na jeneza ndani..kutoka Makao Makuu Ya Zimbabwe Jijini Harare Mwanamitandao ya kijamii na mfanyabiashara, Genius Ginimbi Kadungure ambaye alikufa katika ajali ya gari Jumapili alikuwa ameripotiwa kununua jeneza lake wiki moja kabla ya kifo chake.

Kulingana na majukwaa ya habari ya Pindula, inadaiwa kuwa jeneza hilo lilipatikana katika moja ya vyumba vyake vya kulala kufuatia kifo chake.

Na ukweli kuhusu kifo chake ni kwambaa baada ya ajali na gari kushika moto ginimbi alifanikiwa kutoka nje ya gari, alichofanya ni kujaribu kuwafungulia milango rafiki zake wakati milango ya rolls royce ilikua imejilock basi ndipo mlipuko ukatokea na yeye akiwapo pale anaangaika kuwafungulia milango wenzie.

Hivyo habari za uzushi kua yawezekana alikosea masharti ni porojo tu, niseme upendo kwa wenzie ndio ulikua mkubwa zaidi, yeye kama yeye alishatoka nje tayari hivyo alikua na muda wa kusogea mbali zaidi na mlipuko.

Utajiri wa "jeneza" ni mzuri naupenda sababu hauna lawama.

R.I.P GINIMBI..you enjoyed life to the fullest.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hilo ndo jeneza/casket lenyewe
ginimbi-casket.png
 
Mbona ripoti ya polisi niliyosoma inasema baada ya impact yeye alirushwa nje wenzake wakabaki ndani na kuungua humo.
 
Nakula jasho langu sili hela mkuu
Vyema tu. Imekua kasumba kwa MTU mwenye pesa akifa, maskini wanakua kama wanashangilia hivi, adhabu ya kaburi ataipata kila mmoja, haijalishi wewe kama unakula kwa jasho au hauli, cha muhimu ulipokua hai uliishi kwa matakwa yako na uamuzi wako, kàma ni maisha ya kimasikini ni uamuzi wako, maisha ya kitajiri ni uamuzi wako.
 
Back
Top Bottom