Msijiulize sana, ni kweli GINIMBI alikuwa na jeneza kwenye chumba chake cha siri

Watu wamekua wakijiuliza kweli kama Bilionea huyu alikua na jeneza ndani..kutoka Makao Makuu Ya Zimbabwe Jijini Harare Mwanamitandao ya kijamii na mfanyabiashara, Genius Ginimbi Kadungure ambaye alikufa katika ajali ya gari Jumapili alikuwa ameripotiwa kununua jeneza lake wiki moja kabla ya kifo chake.

Kulingana na majukwaa ya habari ya Pindula, inadaiwa kuwa jeneza hilo lilipatikana katika moja ya vyumba vyake vya kulala kufuatia kifo chake.

Na ukweli kuhusu kifo chake ni kwambaa baada ya ajali na gari kushika moto ginimbi alifanikiwa kutoka nje ya gari, alichofanya ni kujaribu kuwafungulia milango rafiki zake wakati milango ya rolls royce ilikua imejilock basi ndipo mlipuko ukatokea na yeye akiwapo pale anaangaika kuwafungulia milango wenzie.

Hivyo habari za uzushi kua yawezekana alikosea masharti ni porojo tu, niseme upendo kwa wenzie ndio ulikua mkubwa zaidi, yeye kama yeye alishatoka nje tayari hivyo alikua na muda wa kusogea mbali zaidi na mlipuko.

Utajiri wa "jeneza" ni mzuri naupenda sababu hauna lawama.

R.I.P GINIMBI..you enjoyed life to the fullest.

Dah! Kumbe mshirikina!
 
So SAD😭😭😭RIP Ginimbi. Upendo wake Kwa Wengine umegharimu Kifo Chake. Ila nashindwa kuelewa Magari ya Kifahari nayo hulipuka?
 
Lina chat a ya kifremason
MaAfee angekuwa mwafriak tungesema ana pesa ya ndagu kakosea masharti kaanza kuwa chizi. Mayweather kwa matusi yake naye pia. Hat Kobe Bryant tungesema kifo chake si cha kawaida
 
Watu wamekua wakijiuliza kweli kama Bilionea huyu alikua na jeneza ndani..kutoka Makao Makuu Ya Zimbabwe Jijini Harare Mwanamitandao ya kijamii na mfanyabiashara, Genius Ginimbi Kadungure ambaye alikufa katika ajali ya gari Jumapili alikuwa ameripotiwa kununua jeneza lake wiki moja kabla ya kifo chake.

Kulingana na majukwaa ya habari ya Pindula, inadaiwa kuwa jeneza hilo lilipatikana katika moja ya vyumba vyake vya kulala kufuatia kifo chake.

Na ukweli kuhusu kifo chake ni kwambaa baada ya ajali na gari kushika moto ginimbi alifanikiwa kutoka nje ya gari, alichofanya ni kujaribu kuwafungulia milango rafiki zake wakati milango ya rolls royce ilikua imejilock basi ndipo mlipuko ukatokea na yeye akiwapo pale anaangaika kuwafungulia milango wenzie.

Hivyo habari za uzushi kua yawezekana alikosea masharti ni porojo tu, niseme upendo kwa wenzie ndio ulikua mkubwa zaidi, yeye kama yeye alishatoka nje tayari hivyo alikua na muda wa kusogea mbali zaidi na mlipuko.

Utajiri wa "jeneza" ni mzuri naupenda sababu hauna lawama.

R.I.P GINIMBI..you enjoyed life to the fullest.
What difference does this make!??
 
Labda uchukue hela za MAJINI hapa Tanzania alafu uwakimbie ukaishi nchi za mbali huko zenye baridi kaliiii[emoji16][emoji16][emoji16].
Alafu unakata mawasiliano yote na mganga kila wakitaka kukutafuta hawakuoni.
Hv huwezi kuwatapeli mashetan.....
let say wanakupa utajiri wa punje ie contract ya miaka kumi mfano ukachukua fedha uka enjoy miaka tisa....
kabla mkataba haujaisha unaokoka hapo vp
 
Wako waliowahi kubahatika, ila mali zote zinakwenda na maji, pia kinachoshindikana ni kuwa hao mashetani ukumbuke ni roho kwahiyo yana uwezo hata wa kusoma mawazo yako, hivyo kabla hata hujachukua maamuzi unaweza kukuta wamekuteketeza...
 
Back
Top Bottom